Amon Nguma🦅 (@nguma2045) 's Twitter Profile
Amon Nguma🦅

@nguma2045

Information Officer,Political Analyst &Activist,Chelsea,SIMBA.🇹🇿

ID: 1149720305792892933

calendar_today12-07-2019 16:40:56

6,6K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Amon Nguma🦅 (@nguma2045) 's Twitter Profile Photo

President of The United Republic of Tanzania H.E.Dr.Samia Suluhu Hassan has been conferred with an Honorary Doctorate Degree( Doctor of Leadership Honoris Causa) by the University of Mzumbe. Well Deserved no doubt . Pongezi nyingi kwa Mhe Rais Samia Suluhu .

President of The United Republic of Tanzania H.E.Dr.Samia Suluhu Hassan has been conferred with an Honorary Doctorate Degree( Doctor of Leadership Honoris Causa) by the University of Mzumbe.

Well Deserved no doubt .
Pongezi nyingi kwa Mhe Rais Samia Suluhu .
winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Kuelekea miaka 30+ ya Beijing, CHAGUA kutokomeza Ukatili” Kila mtu ana mamlaka ya kuchagua kiongozi bora atakaye #TokomezaUkatili wa kijinsia ambaye hatovumilia matukio ya ukatili wa kijinsia.~|Anna Kulaya mkurugenzi WiLDAF Tanzania

Kauli mbiu ya mwaka huu inasema “Kuelekea miaka 30+ ya Beijing, CHAGUA kutokomeza Ukatili”

Kila mtu ana mamlaka ya kuchagua kiongozi bora atakaye #TokomezaUkatili wa kijinsia ambaye hatovumilia matukio ya ukatili wa kijinsia.~|Anna Kulaya mkurugenzi WiLDAF Tanzania
Amon Nguma🦅 (@nguma2045) 's Twitter Profile Photo

♻️Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hapo chini katika kiambatanisho ni sehemu ya Tamko la Chama Cha Mapinduzi ikielezea Mafanikio yaliyopatikana katika kipindi kilichomalizika pamoja na ahadi za kutekelezwa katika kipindi kijacho kwa ridhaa ya Wananchi. CCM✅💯

♻️Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Hapo chini katika kiambatanisho ni sehemu ya Tamko la Chama Cha Mapinduzi ikielezea Mafanikio yaliyopatikana katika kipindi kilichomalizika pamoja na ahadi za kutekelezwa katika kipindi kijacho kwa ridhaa ya Wananchi.
CCM✅💯
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

PONGEZI kubwa sana kwa TFF, pongezi kwa BODI YA LIGI chini ya Mzee Almas, pongezi kubwa kwa Mdhamini Mkuu NBC, pongezi kwa AZAM MEDIA na Wadhamini wote wa Klabu, UBORA wa Ligi yetu umepanda sana kwasasa, unatazama ndiki inayopigwa hapa TABORA vs SINGIDA unatabasamu. Quality za

Amon Nguma🦅 (@nguma2045) 's Twitter Profile Photo

♻️Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mafanikio yaliyopatikana katika Utawala Bora,Haki,Ulinzi na Usalama kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2019/2024 na ahadi za kutekelezwa katika kipindi kijacho cha 2024/2029 kwa ridhaa ya Wananchi. CCM✅💯

♻️Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mafanikio yaliyopatikana katika Utawala Bora,Haki,Ulinzi na Usalama kupitia Serikali ya  Chama Cha Mapinduzi kwa mwaka 2019/2024 na ahadi za kutekelezwa katika kipindi kijacho cha 2024/2029 kwa ridhaa ya Wananchi.
CCM✅💯
Amon Nguma🦅 (@nguma2045) 's Twitter Profile Photo

"Tunafanya kila tuwezalo kuwapa elimu, lakini uamuzi wa kuitumia elimu hiyo ni wenu,tambueni kuwa upo mzigo mkubwa sana wa kuongoza hii nchi unawasubiri,someni kwa bidii sana,msituangushe, na zaidi sana msipate ukimwi" Hayati Benjamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu🇹🇿 #WorldAIDSDay

"Tunafanya kila tuwezalo kuwapa elimu, lakini uamuzi wa kuitumia elimu hiyo ni wenu,tambueni kuwa upo mzigo mkubwa sana wa kuongoza hii nchi unawasubiri,someni kwa bidii sana,msituangushe, na zaidi sana msipate ukimwi"
Hayati Benjamin Mkapa
Rais wa Awamu ya Tatu🇹🇿
#WorldAIDSDay
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea wa urais kupitia CCM, amemchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza kwa nafasi ya makamu wa rais. #MkutanoMkuuMaalumCCM2025 #SafariYaUshindi

Rais Samia Suluhu Hassan, mgombea wa urais kupitia CCM, amemchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza kwa nafasi ya makamu wa rais.

#MkutanoMkuuMaalumCCM2025
#SafariYaUshindi
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa, tarehe 17 Machi 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Bi. Kwakwa alifika Ikulu kuaga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa, tarehe 17 Machi 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Bi. Kwakwa alifika Ikulu kuaga
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 22 Machi 2025, Dar es Salaam. Katika hafla hiyo Rais Dkt. Samia ameonyeshwa vifaa mbali mbali vinavyotumika katika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 22 Machi 2025, Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo Rais Dkt. Samia ameonyeshwa vifaa mbali mbali vinavyotumika katika
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
AMOSI 🇹🇿 (@_amosirichard) 's Twitter Profile Photo

"Nimeona clip kadhaa za kunisema, mara nina ubaguzi na nini, ninalofanya ni kulinda nchi yangu na ndiyo wajibu wangu niliopewa. Kwahiyo hatutotoa nafasi kwa kiumbe yeyote kuja kutuvuruga hapa awe wa ndani ama anayetoka nje." Samia Suluhu

"Tanzania ni ya amani, siyo ya vurugu.” Samia Suluhu Tanzania imekuwa kivutio cha amani kwa miongo kadhaa. Hii sio bahati ni kwa sababu ya hekima ya Watanzania na uongozi thabiti unaojali uhuru na haki za wananchi wake. Tusiruhusu wageni na vibaraka kuvuruga Amani yetu,