AnkoG
@ngodajr
ID: 3130566535
02-04-2015 13:21:55
8,8K Tweet
419 Followers
1,1K Following
Alphonce Lusako Hatutasamehe kamwe
Naambiwa Gereza la BUTIMBA Mwanza limejaa Wafuasi wa CHADEMA hawana wa kuwatetea kisheria Kama kuna mwanasheria aliepo mwanza Fikeni kesho hapo gereza la Butimba kuna watu wamekamatwa siku ya 29 October na hawajaelezwa kesi yao ni nini . Jebra Kambole Joseph Edward Silayo Msaada
Jebra Kambole Dunia๐ Joseph Edward Silayo Safiiiiโ Mungu awatie nguvu na moyo huo huo ameen