Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile
Thomas Ndunguru

@ndunguruthom

ID: 1855894483465867264

calendar_today11-11-2024 08:45:56

1,1K Tweet

189 Followers

740 Following

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili katika Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM Fertilizers Limited kilichopo Nala, Jijini Dodoma, tarehe 28 Juni,

Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile Photo

*UVCCM TZ* *VIJANA, WAKATI WETU NI SASA* Twende tukagombee nafasi za Udiwani, Ubunge na Uwakilishi wa viti Maalumu. Vijana Tunasema OKTOBA TUNATIKI ✅ *#KaziNaUtuTunasongaMbele* *#TunazimaZoteTunawashaKijani* *#OktobaTunatiki✅✅*

*UVCCM TZ*

*VIJANA, WAKATI WETU NI SASA*

Twende tukagombee nafasi za Udiwani, Ubunge na Uwakilishi wa viti Maalumu.

             Vijana Tunasema
         OKTOBA TUNATIKI ✅ 

*#KaziNaUtuTunasongaMbele*
*#TunazimaZoteTunawashaKijani*
*#OktobaTunatiki✅✅*
Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile Photo

Kazi kubwa tuliyoifanya kwa miaka minne ya kuboresha sera, sheria na kuvutia uwekezaji nchini imeendelea kuleta matokeo chanya ambapo leo nimeungana na kaka yangu, Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye katika uzinduzi wa kiwanda cha kuzalisha mbolea.

Alikuwa diwani wa kata ya hananasif winifred elis nyamwija ametia nia ya kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni nafasi ya ubunge amechukua fomu leo ofisi za ccm wilaya ya kinondoni #kazinaututunasongambele #OCTOBERTUNATIKIIIII

Alikuwa diwani wa kata ya hananasif winifred elis nyamwija ametia nia ya kuwatumikia wananchi wa jimbo la kinondoni nafasi ya ubunge amechukua fomu leo ofisi za ccm wilaya ya kinondoni #kazinaututunasongambele
#OCTOBERTUNATIKIIIII
Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

Habari Njema kama hizi maria na vijana wake hawapendi kusikia Kamwe , Hongera sana Dkt Samia Suluhu Ile Royal Tour imezaa matunda 🇹🇿 #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Habari Njema kama hizi maria na vijana wake hawapendi kusikia Kamwe , Hongera sana Dkt <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> Ile Royal Tour imezaa matunda 🇹🇿

#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA NDIYO INAYOONGOZA KWA AFRIKA KWENYE UTALII 🇹🇿✍️ Tanzania imetawazwa kuwa Eneo Linaloongoza Afrika katika Tuzo za Dunia za Safari za 2025, na hivyo kuimarisha hadhi yake kama sehemu inayoongoza kwa utalii duniani.

TANZANIA NDIYO INAYOONGOZA KWA AFRIKA KWENYE UTALII 🇹🇿✍️

 Tanzania imetawazwa kuwa Eneo Linaloongoza Afrika katika Tuzo za Dunia za Safari za 2025, na hivyo kuimarisha hadhi yake kama sehemu inayoongoza kwa utalii duniani.
Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA LEO LAANDIKA 👇⬇️ "Samia Adhamiria Tanzania Kuzalisha Umeme Wa Nyuklia" 🔹Biteko Asema Ni Nishati Nafuu. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

TANZANIA LEO LAANDIKA 👇⬇️ 
"Samia Adhamiria Tanzania Kuzalisha Umeme Wa Nyuklia"
🔹Biteko Asema Ni Nishati Nafuu.
#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

Tunaendelea kukubaliana Kuwa pale chadema wenye akili timamu hawazidi 10 ✍️ Haya madudu hata mtu asiye na akili awezi Fanya 🚮

Tunaendelea kukubaliana Kuwa pale chadema wenye akili timamu hawazidi 10 ✍️

Haya madudu hata mtu asiye na akili awezi Fanya 🚮
Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile Photo

Mringoti chuma bendera chuma katibu wa uvccm wilaya ya kinondoni kazi nzuri umeifanya katika zoezi hili la uchukuaji wa fomu mungu akuzidishie hekima na busara zoezi liishe salama wanakinondoni tunakupenda na tunakuombea kwa mwenyezi mungu akusimamie kwa kila lililojema AMEN

Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile Photo

Tunaendelea kukubaliana Kuwa pale chadema wenye akili timamu hawazidi 10 ✍️ Haya madudu hata mtu asiye na akili awezi Fanya 🚮

Tunaendelea kukubaliana Kuwa pale chadema wenye akili timamu hawazidi 10 ✍️

Haya madudu hata mtu asiye na akili awezi Fanya 🚮
Thomas Ndunguru (@ndunguruthom) 's Twitter Profile Photo

KAZI NA UTU TUNASONGAMBELE 💚 🇹🇿 Rais Samia Suluhu Hassan anaunganisha Tanzania kwa nguvu kubwa, maono thabiti, na uongozi wa mageuzi katika kila sekta. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

KAZI NA UTU TUNASONGAMBELE 💚 🇹🇿

Rais Samia Suluhu Hassan anaunganisha Tanzania kwa nguvu kubwa, maono thabiti, na uongozi wa mageuzi katika kila sekta.

 #KaziNaUtu #TunasongaMbele