
ndavuka2020
@ndavuka2020
ID: 1844726003794374656
11-10-2024 13:05:54
19,19K Tweet
185 Followers
914 Following


Matokeo ChanyA+ Hatuwezi kuruhusu vibaraka waje watuharibie amani na utulivu tulionao miaka na mikaka. HATUTAKI NA HATUTORUHUSU. #kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #CCM #MSLAC


Matokeo ChanyA+ Hongera Rais Samia kwa kulikemea hili na kuchukua tahadhari ili kuendelea kulinda utulivu, amani na usalama katika nchi yetu

Matokeo ChanyA+ Tanzania ni kisiwa cha amani, na hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tutalinda amani yetu kwa namna yoyote ile. Yaliyotokea nchi za jirani, tunaona athari zake. #tulindeamaniyetu #sisiniTanzania


Matokeo ChanyA+ Tanzania ni nchi huru ,yenye Amani..hakika aliyonena Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni maneno sahihi kabisa ..tusiruhusu mtu yoyote kituvurugia nchi yetu. ##ssh #mslac #SisiNiTanzania #NaipendaNchiYangu #matokeochanya #NchiYanguKwanza Bintimachozi Msava Msava issa timbe


Matokeo ChanyA+ Tanzania ni nchi huru na yenye amani kamwe hatutoruhusu amani kuvunjwa na wanaharakati watokao nje


Matokeo ChanyA+ Wameharibu kwako , sasa wanataka kuja kupenyeza chokochoko kwetu. Hell nooo! Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ #SisiNiTanzani #Matokeochanya #Katiba_sheria #MSLAC #DrSSH #Tanzaniakwanza


Matokeo ChanyA+ Tanzania ni Imara, tunajivunia amani na usalama wetu #sisinitanzania #nchiyangukwanza #ssh #kaziiendelee


Matokeo ChanyA+ kibangalaznz KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE #SisiniTanzania #matokeochanya #SSH #Katibanasheria #kazinaututunasongambele #nchiyangukwanza SISI NI TANZANIA Matokeo ChanyA+ Samia Suluhu ikulu_Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Nchi yangu kwanza


Matokeo ChanyA+ Tanzania sio nchi ya kuchezea #sisinitanzania #SSH #Kazinaututunasongambele #MSLAC #Matokeochanya #ccm #katibanasheria #nyamlenyakua #nchiyangukwanza



Matokeo ChanyA+ Tanzania nchi ya amani tuilinde na kuidumisha daima.Tanzania ni nyumbani na nyumbani ni Tanzania ni wajibu wetu kuilinda na kuitunza amani ya nchi yetu๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #ssh #mslac #ccm

Matokeo ChanyA+ Ujumbe umefika mama, Tanzania tunaongozwa na katiba yetu, pia tuna Mila na desturi zetu na miongozo yetu. Hao wanaharakati harakati zao wakazifanyie uko uko kwao sio tanzania kwetu. #ssh #sisinitanzania #kazinaututunasongambele



Nchi yangu kwanza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ni amiri jeshi mkuu ambae anahakikisha nchi iko salama pasipo kusikiliza watu ambao wanataka kuvuruga amani ya nchi. #tanzaniayetu


Matokeo ChanyA+ Tuipende tuitunze na kuilinda nchi yetu maadui wasiharibu Amani yetu. #sisinitanzania #nchiyangukwanza #sisindiowajenziwatanzaniayetu #raisdktsamiassh #siondototena #wizarayakatibanasheria #matokeochanya #kaziiendelee #Kazinaututunasongambele

