Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile
Jitu Mtu

@mtu2mtu

God is great

ID: 1467165517567905793

calendar_today04-12-2021 16:19:23

4,4K Tweet

1,1K Followers

612 Following

Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Kesho ni zamu ya Mbeya. Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu atakutana na watiania wa Ubunge na Udiwani kutoka Majimbo yote ya Mkoa wa Mbeya. #OperesheniLindaDemokrasia #TaifaLaWote #MaslahiYaWote.

Kesho ni zamu ya Mbeya. Katibu Mkuu wa ACTWazalendo, Ndugu Ado Shaibu atakutana na watiania wa Ubunge na Udiwani kutoka Majimbo yote ya Mkoa wa Mbeya.

#OperesheniLindaDemokrasia #TaifaLaWote #MaslahiYaWote.
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

NDOLEZI AUTAKA UBUNGE WA KIGOMA KUSINI Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana , Kazi na Ajira Mhandisi Ndolezi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha ACTWazalendo ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini. #MuhuniHasusiwi

NDOLEZI AUTAKA UBUNGE WA KIGOMA KUSINI

Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana , Kazi na Ajira Mhandisi Ndolezi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya chama cha ACTWazalendo ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini.

#MuhuniHasusiwi
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 18, 2025 Katibu Mkuu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Kilwa Kusini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Ndugu Twahir Bingwe. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia ACTWazalendo

Leo Mei 18, 2025 Katibu Mkuu Kiongozi wa Wasemaji wa Kisekta, Ndugu Idrisa Kweweta amechukua fomu ya kugombea Ubunge w Jimbo la Kilwa Kusini. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo la Kilwa Kusini, Ndugu Twahir Bingwe.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
ACTWazalendo
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 19, 2025 Ndugu Philipo Mallac amekabidhiwa fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Nsimbo kwa tiketi ya ACTWazalendo. Fomu hiyo amekabidhiwa na Kaimu Katibu wa Jimbo la Nsimbo, Ndugu Erasto Samweli. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Leo Mei 19, 2025 Ndugu Philipo Mallac amekabidhiwa fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Nsimbo kwa tiketi ya ACTWazalendo. Fomu hiyo amekabidhiwa na Kaimu Katibu wa Jimbo la Nsimbo, Ndugu Erasto Samweli.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 19, 2025 Waziri Kivuli wa Ardhi wa ACTWazalendo, Ndugu Emmanuel L. Mvula amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Segerea. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Maarufu Mdumbu. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Leo Mei 19, 2025 Waziri Kivuli wa Ardhi wa ACTWazalendo, Ndugu Emmanuel L. Mvula amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Segerea. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Maarufu Mdumbu.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Leo Mei 19, 2025 Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa chama cha ACTWazalendo, Ndugu Shaweji Mketo amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kaskazini. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

Leo Mei 19, 2025 Katibu wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa chama cha ACTWazalendo, Ndugu Shaweji Mketo amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kaskazini.

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO MKUU TAIFA KWA HISANI YA WANACHAMA NA WADAU WA DEMOKRASIA Chama cha ACTWazalendo kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum Mwezi Julai kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2025. Tunaomba michango yenu kufanikisha mkutano huo. Namba za kuchangia ziko katika bango.

MKUTANO MKUU TAIFA KWA HISANI YA WANACHAMA NA WADAU WA DEMOKRASIA

Chama cha ACTWazalendo kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum Mwezi Julai kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2025.

Tunaomba michango yenu kufanikisha mkutano huo. Namba za kuchangia ziko katika bango.

"Nina heshima kuomba ridhaa ya ACTWazalendo kugombea Urais wa Tanzania. Tuna ombwe la uongozi, umaskini wa kutisha, na rasilimali zinazovunwa bila tija kwa wananchi. Niko tayari kuongoza mabadiliko ya kweli." KC Dorothy Semu #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia

"Nina heshima kuomba ridhaa ya ACTWazalendo kugombea Urais wa Tanzania. Tuna ombwe la uongozi, umaskini wa kutisha, na rasilimali zinazovunwa bila tija kwa wananchi.
Niko tayari kuongoza mabadiliko ya kweli."

KC Dorothy Semu

#MuhuniHasusiwi
#OperesheniLindaDemokrasia
Jitu Mtu (@mtu2mtu) 's Twitter Profile Photo

Kesho zamu ya nani? Majibu yatapatikana Makao Makuu ya Chama Magomeni kesho tarehe 9 Juni 2025 kuanzia saa 7.00 Mchana. Karibuni sana!!

Kesho zamu ya nani? Majibu yatapatikana Makao Makuu ya Chama
Magomeni kesho tarehe 9 Juni 2025 kuanzia saa 7.00 Mchana. Karibuni sana!!
Mohammed Massaga Massaga (@massagamohammed) 's Twitter Profile Photo

"Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani huenda bungeni kwa nguvu ya ulinzi wa kura. Kupiga kura ni haki, na kulinda kura pia ni haki." Naibu Mwenezi wa ACTWazalendo @shangwe__ayo Oktoba #LindaKura

"Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani huenda bungeni kwa nguvu ya ulinzi wa kura. Kupiga kura ni haki, na kulinda kura pia ni haki."

Naibu Mwenezi wa ACTWazalendo
@shangwe__ayo

Oktoba #LindaKura
Creator Kenny (@directorclen) 's Twitter Profile Photo

"Sisi tunaelewa kabisa! Mifumo ya uchaguzi ni ya hovyo. Tunajua kuna kura feki! Tunajua polisi wanatumiwa na CCM. Tunajua hatupambani na CCM; tunapambana dola. Ila hatutasusa, kwani tumejifunza kilichotokea Zanzibar" Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official Abdul Nondo 🇹🇿 Oktoba #LindaKura

"Sisi tunaelewa kabisa! Mifumo ya uchaguzi ni ya hovyo. Tunajua kuna kura feki! Tunajua polisi wanatumiwa na CCM. Tunajua hatupambani na CCM; tunapambana dola. Ila hatutasusa, kwani tumejifunza kilichotokea Zanzibar"
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana_Official
Abdul Nondo 🇹🇿

Oktoba #LindaKura