rachel john (@mtazania_) 's Twitter Profile
rachel john

@mtazania_

ID: 881776950087479296

calendar_today03-07-2017 07:29:42

956 Tweet

2,2K Followers

21 Following

Shabani shabani (@shabanishabanii) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya watu wameanza kubaguana kwa Uzanzibar na Utanganyika, tukimalizana na hilo tutakwenda kwenye Ukilimanjaro na Ukigoma, mambo ya ubaguzi Nyerere alisema ni sawa na kula nyama ya mtu huachi. Kifupi ni mabaya mno kwa umoja, mshikamano na amani ya Nchi yetu. TUYAKATAE.

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Ufafanuzi makini kutoka kwa Wakili Msomi, Mbunge wa Ukonga na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma, Mhe. Jerry Silaa Ni kuhusu uwekezaji wa bandari.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

"Wakati wote, tutaendelea kuwa waaminifu wa Chama hiki (CCM). Tutaendelea kukitetea na kukisemea sera zake popote pale kwa wivu mkubwa na kwa nguvu zetu zote." #TunaimaniNaSamia #VitendoVinaSauti #KaziIendelee

"Wakati wote, tutaendelea kuwa waaminifu wa Chama hiki (CCM). Tutaendelea kukitetea na kukisemea sera zake popote pale kwa wivu mkubwa na kwa nguvu zetu zote." #TunaimaniNaSamia #VitendoVinaSauti #KaziIendelee
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Wageni mbalimbali waliohudhuria maadhimisho za mbio za Mwenge wa Uhuru ambazo Kitaifa zimefanyika Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.

Wageni mbalimbali waliohudhuria maadhimisho za mbio za Mwenge wa Uhuru ambazo Kitaifa zimefanyika Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.
Shabani shabani (@shabanishabanii) 's Twitter Profile Photo

Oktoba hii Mhe. Rais Samia Suluhu alikuwa nje ya Nchi akipambania fursa za Nchi yetu, Oktoba hii hii tayari yupo Mikoani akisikiliza na kutatua kero za wananchi pamoja na kuzindua miradi mikubwa ya maendeleo. Hakika Kazi inaendelea kwa kasi tena bila kelele. Tumuunge Mkono.

Oktoba hii Mhe. Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> alikuwa nje ya Nchi akipambania fursa za Nchi yetu, Oktoba hii hii tayari yupo Mikoani akisikiliza na kutatua kero za wananchi pamoja na kuzindua miradi mikubwa ya maendeleo. Hakika Kazi inaendelea kwa kasi tena bila kelele. 

Tumuunge Mkono.
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

📸 Katibu wa NEC, SUKI Ndg. Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi Rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara Hiyo Ndg Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Makabidhiano hayo yamefanyika Mapema Leo Trh 25 Okt 2023 #CCMImara

📸 Katibu wa NEC, SUKI Ndg. Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi Rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara Hiyo Ndg  Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Makabidhiano hayo yamefanyika Mapema Leo Trh 25 Okt 2023

#CCMImara
Sophia Mjema (@sophiamjema1) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (Samia Suluhu ), kipekeee niweze kumshukuru yeye kwa kuweza kuniamini tena ili niweze kumsaidia katika jukumu la Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.

Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia  Suluhu Hassan (<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> ), kipekeee niweze kumshukuru yeye kwa kuweza kuniamini tena ili niweze kumsaidia katika jukumu la Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Shabani shabani (@shabanishabanii) 's Twitter Profile Photo

Leo nitawasilisha mada ya historia ya CCM kwa kuanisha mambo 10 ya tofauti. Nawashukuru sana wana CCM wenzangu shina la CCM DIASPORA CHINA kwa mualiko huu, nawakaribisha nyote katika darasa letu hili. Kupitia Zoom Meeting, link kwenye bio yangu. Karibu sana ndugu zangu.

Leo nitawasilisha mada ya historia ya CCM kwa kuanisha mambo 10 ya tofauti. Nawashukuru sana wana CCM wenzangu shina la <a href="/CcmChina/">CCM DIASPORA CHINA</a> kwa mualiko huu, nawakaribisha nyote katika darasa letu hili. Kupitia  Zoom Meeting, link kwenye bio yangu. 

Karibu sana ndugu zangu.
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Salamu za Pongezi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. Tulia Ackson (Mb) kwa kupata kura nyingi na kuchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). #KaziIendelee

Salamu za Pongezi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. <a href="/TuliaAckson/">Dr. Tulia Ackson</a> (Mb) kwa kupata kura nyingi na kuchaguliwa kwa ushindi wa kishindo kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

#KaziIendelee
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akisilimiana na mmoja wa mabalozi kabla ya kuanza kuzungumza nao wakati wa kikao cha mabalozi zaidi ya 800 wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. #KaziIendelee

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akisilimiana na mmoja wa mabalozi kabla ya kuanza kuzungumza nao wakati wa kikao cha mabalozi zaidi ya 800 wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.

#KaziIendelee
Shabani shabani (@shabanishabanii) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa upendeleo mkubwa kwangu kuniwezesha kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Kimkakati kutoka katika Chuo cha Uhusiano wa Kimataifa Cha Dkt. Salim Ahmed Salim. Alhamdullah.

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa upendeleo mkubwa kwangu kuniwezesha kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Uzamili katika Utawala wa Kimkakati kutoka katika Chuo cha Uhusiano wa Kimataifa Cha Dkt. Salim Ahmed Salim.

Alhamdullah.
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali Duniani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika katika Jiji la Dubai Expo Desemba 01, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali Duniani kabla ya kuelekea kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika katika Jiji la Dubai Expo Desemba 01, 2023.
Shabani shabani (@shabanishabanii) 's Twitter Profile Photo

CCM imekuwa na utaratibu huu usiovunja sheria za nchi wa kuandaa chipukizi miaka mingi. Kipindi hiki cha mitandao ndio kila kitu huonekana kipya. Aidha Wanachuo hawajakatazwa kujiunga na vyama ndio maana mna chaso, kwa kukosa kwenu watu imekufa. Siasa ni imani na imani ujengwa.

Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (@pndalichako) 's Twitter Profile Photo

Kutokea Kasulu Mjini, Wana CCM wenzangu wote Tanzania nawatakia umoja, amani na ushindi wakati wote tunapo sherekea miaka 47 ya kuanzishwa kwa Chama chetu. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.👍

Kutokea Kasulu Mjini, Wana CCM wenzangu wote Tanzania nawatakia umoja, amani na ushindi wakati wote tunapo sherekea miaka 47 ya kuanzishwa kwa Chama chetu.  

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.👍
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar. Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa

Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar.

Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa