Moses Alphonce James (@moses_alphonce) 's Twitter Profile
Moses Alphonce James

@moses_alphonce

Manager - Mastercard Tanzania

ID: 3401185420

linkhttp://www.mastercard.com/ calendar_today03-08-2015 10:32:34

118 Tweet

46 Followers

520 Following

Zantel (@zanteltz) 's Twitter Profile Photo

Huku kwetu maisha ni Easy kabisa ukiwa na Ezypesa mkononi. Kamilisha malipo yako pamoja na kutuma na kupokea fedha popote pale nchini. Ezypesa ni rahisi na salama. Piga *150*02# sasa! Pakua app ya Ezypesa kupitia android na iOS #MaishaNiEasyNaEzypesa

Huku kwetu maisha ni Easy kabisa ukiwa na Ezypesa mkononi. Kamilisha malipo yako pamoja na kutuma na kupokea fedha popote pale nchini. Ezypesa ni rahisi na salama. 

Piga *150*02# sasa! 
Pakua app ya Ezypesa kupitia android na iOS 
#MaishaNiEasyNaEzypesa
Zantel (@zanteltz) 's Twitter Profile Photo

Wale wa kuwahi kurudi mikoani, lipia tiketi yako kupitia Ezypesa sasa! Ili kurahisisha kulipia tiketi yako, fanya malipo kiusalama kabisa kupitia Ezypesa kuepuka usumbufu usio na lazima. Piga *150*02# sasa! Pakua App ya Ezypesa kupitia App store na Play store. #Ezypesa

Wale wa kuwahi kurudi mikoani, lipia tiketi yako kupitia Ezypesa sasa! 
Ili kurahisisha kulipia tiketi yako, fanya malipo kiusalama kabisa kupitia Ezypesa kuepuka usumbufu usio na lazima. 

Piga *150*02# sasa! 
Pakua App ya Ezypesa kupitia App store na Play store. 
#Ezypesa
Innocent P. M. Mungy🇹🇿 (@imungy) 's Twitter Profile Photo

Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu hii nguzo. Tulioko Dodoma tufuatilie C- FM Radio 103.3 kwa ufafanuzi na mambo mengine kuhusu #AnwaniZaMakazi kwa Maendeleo.

Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu hii nguzo. Tulioko Dodoma tufuatilie C- FM Radio 103.3 kwa ufafanuzi na mambo mengine kuhusu #AnwaniZaMakazi kwa Maendeleo.
Zantel (@zanteltz) 's Twitter Profile Photo

Familia Imekua… EzyPesa sasa ni Tigo Pesa Furahia Punguzo la 50% ya makato kwa miamala ya kutuma pesa na malipo ya Lipa Kwa Simu BURE.

Familia Imekua…

EzyPesa sasa ni Tigo Pesa 

Furahia Punguzo la 50% ya makato kwa miamala ya kutuma pesa na malipo ya Lipa Kwa Simu BURE.

Furahia Punguzo la 50% ya makato kwa miamala ya kutuma pesa na malipo ya Lipa Kwa Simu BURE. Familia Imekua… EzyPesa sasa ni Tigo Pesa

Furahia Punguzo la 50% ya makato kwa miamala ya kutuma pesa na malipo ya Lipa Kwa Simu BURE.

Familia Imekua…

EzyPesa sasa ni Tigo Pesa
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

#JamboMuhimu Tanzania haina machafuko wala matukio ya ugaidi kama inavyoripotiwa na baadhi ya taasisi/kampuni za nje ya nchi. Wananchi tulieni na endeleeni na shughuli zenu za kila siku, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo makini.

#JamboMuhimu

Tanzania haina machafuko wala matukio ya ugaidi kama inavyoripotiwa na baadhi ya taasisi/kampuni za nje ya nchi. 

Wananchi tulieni na endeleeni na shughuli zenu za kila siku, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo makini.
Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Kwa mara ya kwanza kuongea na DP World ilikuwa 2014 wkt wa ziara ya aluyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Nilikutana na makapuni ya FlyDubai, Dp World, Dnata, ENOC, Nakheel nk nikwaomba waje wawekeze 🇹🇿. Mhe Pinda alikutana nao alipofanya ziara Dubai. FlyDubai walianza safari zao.

Abdulmajid Nsekela (@amnsekela) 's Twitter Profile Photo

Nimepata heshima kubwa ya kukutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti na Rais wa MasterCard, Jon Huntsman kando ya Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa #UNGA79 unaofanyika New York, US. Tumezungumza mengi ikiwamo utekelezaji wa Mpango wa Uwezeshaji Wakulima nchini Kidijitali

PC Tech Magazine (@pctechmagazine) 's Twitter Profile Photo

#NEWS | Mastercard has opened its first office in Uganda, marking a significant step in its expansion across East Africa and underscoring its commitment to fostering financial inclusion and accelerating digital transformation in the region. pctechmag.com/2025/02/master…

Selcom Pesa (@selcompesa) 's Twitter Profile Photo

Fly for less with Selcom Pesa! 15 days remaining to enjoy this exclusive travel discount! Get up to 15% off international Kenya Airways flights when you book with your Selcom Pesa Mastercard. Book with: kenya-airways.com/en-gb/promotio… Download the Selcom Pesa App today and take off

Fly for less with Selcom Pesa!
15 days remaining to enjoy this exclusive travel discount! 
Get up to 15% off international Kenya Airways flights when you book with your Selcom Pesa Mastercard.
Book with: kenya-airways.com/en-gb/promotio…

Download the Selcom Pesa App today and take off
US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Uhusiano kati ya Marekani na Tanzania unaenea hadi katika namna watu wa kawaida, bila kujali muda na mahali, wameweza kuunganishwa na kustawi pamoja. Hivi karibuni, Kituo cha Habari cha CBS News cha Philadelphia, Pennsylvania kiliangazia simulizi la kutia moyo la kundi la