STREET_MKONGO24 (@mkongo_24_) 's Twitter Profile
STREET_MKONGO24

@mkongo_24_

GRAPHIC DESIGNER
COMEDIAN
MARKERT INFLUENCER

ID: 1601631338611838978

calendar_today10-12-2022 17:34:18

2,2K Tweet

450 Followers

735 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

KESHO KWANZIA SAA 5 ASUBUHI KUNA MAANDAMANO YA MTANDAONI. SOMA ROUTE TUTAKAZOPITA. JUMBE ZETU NI TATU. #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu #Zuiautekaji REPOST 200 🚨 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

KESHO KWANZIA SAA 5 ASUBUHI KUNA MAANDAMANO YA MTANDAONI.

SOMA ROUTE TUTAKAZOPITA.

JUMBE ZETU NI TATU.

#NoReformsNoElection 
#FreeTunduLissu 
#Zuiautekaji 

REPOST 200 🚨

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Katika watu zaidi 200 waliotekwa tangu 2019 mpaka sasa 2025 ni mimi pekee nimeweza kurudi HAI & NA KUKEMEA UTEKAJI KWA SAUTI YA JUU. Nilitekwa KIMARA KOROGWE nikapelekwa O’bey Police 23.6.2024 majira ya saa 1 usiku. Nikadumu pale nikiwa kwenye mateso makali usiku mzima. Kisha

Katika watu zaidi 200 waliotekwa tangu 2019 mpaka sasa 2025 ni mimi pekee nimeweza kurudi HAI & NA KUKEMEA UTEKAJI KWA SAUTI YA JUU.

Nilitekwa KIMARA KOROGWE nikapelekwa O’bey Police 23.6.2024 majira ya saa 1 usiku. Nikadumu pale nikiwa kwenye mateso makali usiku mzima. Kisha
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura OKTOBA #LindaKura

OKTOBA #LindaKura
OKTOBA #LindaKura
OKTOBA #LindaKura
OKTOBA #LindaKura 
OKTOBA #LindaKura
OKTOBA #LindaKura
OKTOBA #LindaKura
OKTOBA #LindaKura
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Vijana Wawili JOSEPH MRINDOKO Na JACKSON KABALO Wanaounda Kundi La “WACHOKONOZI” Wamevamiwa Na Watu Wenye Silaha Waliojitambulisha Kuwa Ni Askari Polisi Wakiwa Nyumbani Kwao Maeneo Ya Maji Ya Chai, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. #FreeWachokonozi Naombeni RT 200🤝

Vijana Wawili JOSEPH MRINDOKO Na JACKSON KABALO Wanaounda Kundi La “WACHOKONOZI” Wamevamiwa Na Watu Wenye Silaha Waliojitambulisha Kuwa Ni Askari Polisi Wakiwa Nyumbani Kwao Maeneo Ya Maji Ya Chai, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. #FreeWachokonozi

Naombeni RT 200🤝
Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi

NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI

Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 3 Jaji anasema Wakili Neema anakuwa discharged na mahakama ila kama ataendelea au kubaki na hiyo timu sisi hatuna shida mtamalizana nae. Pia kuhusu hiyo timu tunakuachia uendelee nayo kama ulivyoomba wakusaidie research. Anasimama Katuga sasa.