REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile
REMIGIUS MITONDWA

@mitondwar

ID: 2180370929

calendar_today14-11-2013 03:29:58

888 Tweet

61 Followers

1,1K Following

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

*Zaburi 24: 4,5* Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila. Atapokea baraka kwa Bwana, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

Mithali 4:1-2 Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu. Kwa kuwa nawapa mafundisho mazuri; Msiiache sheria yangu.

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

Mafyapufyapu yanayofanyika Masokolokwinyo yanayofanyika Mabozobozo yanayofanyika Mauchakachuaji yanayofanyika Maubabaifu yanayofanyika Waungwana tunayaona na tunajua yanafanywa kwa sababu ya uoga wa kuvuliwa nguo na ukweli ambao hapo mbeleni lazima uwavue nguo

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush sportpesa.co.tz/goal-rush/refe…

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

Mithali 30:8-9 Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 19:14 Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush sportpesa.co.tz/goal-rush/refe…

REMIGIUS MITONDWA (@mitondwar) 's Twitter Profile Photo

Ukiona adui yako anakupongeza Kwa hatua uliochukua Kuna mawili usingechukua hatua angekuwa na wakati mgumu au umechukua hatua ambayo itakumaliza

Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama

African Hub (@africanhub_) 's Twitter Profile Photo

"Africa is the only continent that doesn't have to import anything." ~ Steve Harvey "Africa was supposed to be a great independent continent thriving on their own if the West would let them be. Africa doesn't need your Oil, they don't need your Gas, they don't need your Gold,

"Africa is the only continent that doesn't have to import anything." ~ Steve Harvey

"Africa was supposed to be a great independent continent thriving on their own if the West would let them be. Africa doesn't need your Oil, they don't need your Gas, they don't need your Gold,
Paul Bonaventure (@phbhimself) 's Twitter Profile Photo

NGUVU NA AKILI, TUBOMOE AU TUJENGE? Askofu Benson Bagonza (PhD) Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho” Na wana mikesha wakaimba, “Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”. Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9: “HERI WAPATANISHI MAANA HAO

NGUVU NA AKILI, TUBOMOE AU TUJENGE?

Askofu Benson Bagonza (PhD)

Kuna mwimbaji aliimba, 

“Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho”
Na wana mikesha wakaimba,
“Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”.

Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9:

“HERI WAPATANISHI MAANA HAO