MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile
MichaelMwebe

@michaelmwebe

Sports consultancy and media services.

ID: 1136854538

calendar_today31-01-2013 12:24:23

60,60K Tweet

105,105K Followers

6,6K Following

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

A very competitive and tense first half, contrary to early perceptions that this would be a ‘friendly’ final. HT: Yanga SC 1-0 Singida Black Stars

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Unataka kusema tulijua matokeo yatakuwaje kwenye hii fainali lakini unakumbuka Simba tumefungwa mechi tano mfululizo... unakuwa mpole.

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

✅ Club football means more games, more money, and a thriving football industry compared to emphasis on national teams. This is why strict foreign quotas to ‘protect’ national teams make little sense.

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Both Simba and Tshabalala have given their all, but sometimes, love and respect mean letting go. I agree, it was the right time for Tshabalala to leave Simba, and the right time for Simba to part ways with Tshabalala.

Both Simba and Tshabalala have given their all, but sometimes, love and respect mean letting go.

I agree, it was the right time for Tshabalala to leave Simba, and the right time for Simba to part ways with Tshabalala.
MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Tshaba akivuka upande wa pili, nitazidi kuamini GSM ni mwenzetu kabisa. Hajawahi kutokea upande mmoja kuchukua msemaji, CEO, makocha na wachezaji wengi kutoka upande wa pili kama zama hizi. Hata akiongelea Yanga anaiongelea kifupi kama mtu anayemuongelea mke wa pili au wa tatu.

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya miaka 3 tunapiga kelele Simba inahitaji full-backs bora zaidi kutoka kwenye 'mkwamo'. Ilikuwa inaleta watu wa 'kutoa challenge' sio upgrade ya waliopo. Hii ni fursa ya kuleta UPGRADE. Tshaba anaondoka wakati bado Yanga anatamani kuwa naye...Good for his pockets &family

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Ingekuwa Mo na GSM wako Simba na Yanga kutangaza biashara zao basi Bakhressa angechafua AzamTv na matangazo ya biashara zake. Mengi angechafua ITV na matangazo ya biashara zake. Hawauzi pafyumu au mafuta ya urembo, wanauza bidhaa za mahitaji ya kila siku. Tutanunua tu.

MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Naelewa umuhimu wa branding. Nachojaribu ni kuangalia context. GSM, Bakhressa na METL wanafanya biashara kulingana na uchumi wetu ndio maana bidhaa zao zinafanana. Kama ni nguvu ya BRANDING, maji na soda za METL, Bakhressa na GSM zisingeweza kuwapora market share kina Coca-Cola.

Omutegeke | 🇺🇬🎙️ (@clivekyazze) 's Twitter Profile Photo

Several reports have surfaced regarding ongoing conflicts within the Football Kenya Federation (FKF) leadership. Here’s what I have uncovered. THREAD

Several reports have surfaced regarding ongoing conflicts within the Football Kenya Federation (FKF) leadership. Here’s what I have uncovered. 

THREAD
MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Sometimes your best signing is keeping your best player. Retaining 'Zizou wa Mchongo' is the most crucial piece of business by Yanga.

Sometimes your best signing is keeping your best player. Retaining 'Zizou wa Mchongo' is the most crucial piece of business by Yanga.
MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Tabora United teasing with one of the most Pan-African XIs ever — 8 different African nationalities in the starting lineup. Wameamua kupandisha sukari ya Biko Scanda kabla hata vumbi la Ligi Kuu halijaanza kutimka.

Tabora United teasing with one of the most Pan-African XIs ever — 8 different African nationalities in the starting lineup.

Wameamua kupandisha sukari ya Biko Scanda kabla hata vumbi la Ligi Kuu halijaanza kutimka.
MichaelMwebe (@michaelmwebe) 's Twitter Profile Photo

Wageni wanachangamsha Ligi! Muingiliano ni chachu ya maendeleo. Tofauti ya Dar na sehemu nyingine za Tanzania ni kutokana na kuwa na muingiliano mkubwa wa kila aina ya watu. EPL ni Ligi pendwa kutokana na muingiliano. Ligi Kuu Bara inazungumziwa Afrika kutokana na muingiliano.