MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profileg
MichaelMwebe

@MichaelMwebe

Sports consultancy and media services.

ID:1136854538

calendar_today31-01-2013 12:24:23

56,6K Tweets

101,2K Followers

6,4K Following

MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

Naam, ukisimama unaachwa. Yaani hizi jezi za Simba sio mbaya. Ingekuwa miaka ya 2005 tungesema safi. Tatizo Yanga anaogelea mbali na fukwe, kule kwenye maji marefu, Simba bado tunapiga mbizi fukweni.

Hakuna namna, kipimo cha Simba ni Yanga, kipimo cha Yanga ni Simba.

account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

Kama Yanga walimchukua Haji Manara, sio dhambi na sisi tukimvuta Sheria Ngowi kutoka kwao. Penye udhia, tupenyeze rupia.

account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

Tulipiga hatua kubwa sana kwenye jezi za mwanzo wa msimu, lilikuwa ni suala la kuondoa mapungufu machache (Screaming font). Kwenye toleo la jezi za Champions League tumerudi nyuma. Kwamba Mo Extra imekuwa tamu hadi tunaiweka mara mbili!!!

Simba tumekubali kufeli, tunafelishwa au tunajifelisha kwenye suala la jezi? Yanga wanaingia na Ferrari, sisi tunakuja na Probox kwenye shughuli hio hio.

account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

'I think we lost the game in the first 25 minutes. We weren't ready for the kick-and-rush football of Rwanda. In the first 25 minutes, we gave away two presents...two goals. Our start was bad, and we paid the price with two goals,''

Hugo Broos, Bafana Bafana coach.

'I think we lost the game in the first 25 minutes. We weren't ready for the kick-and-rush football of Rwanda. In the first 25 minutes, we gave away two presents...two goals. Our start was bad, and we paid the price with two goals,'' Hugo Broos, Bafana Bafana coach.
account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

β€œIn this World Cup qualifiers each team has its own objectives. We are building a team for a bright future.”

Adel Amrouche

β€œIn this World Cup qualifiers each team has its own objectives. We are building a team for a bright future.” Adel Amrouche
account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

'I accept defeat at the hands of a world-class team... Thank God there is no Arab Cup for Tanzania because we would have to face Morocco again after playing them in AFCON and World Cup qualifiers.'

Adel Amrouche, Taifa Stars head coach.

'I accept defeat at the hands of a world-class team... Thank God there is no Arab Cup for Tanzania because we would have to face Morocco again after playing them in AFCON and World Cup qualifiers.' Adel Amrouche, Taifa Stars head coach.
account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

Mechi ya kwanza dhidi ya Niger tulipata kadi tano. Hapa FIFA wanawapiga TFF faini isiyopungua milioni 25. Dhidi ya Morocco tumekula kadi nne, almanusra tuingie kwenye faini. Kadi ni sehemu ya mchezo wa soka lakini tusiwajaze wachezaji wetu mentality za ndondo/U-Juma Nyosso.

account_circle
MichaelMwebe(@MichaelMwebe) 's Twitter Profile Photo

Tanzania off to a positive start in the World Cup Qualifiers with a gritty performance to keep a clean sheet and earn three points against Niger

Ulaya anatumika kama poacher. Anacheza karibu na lango. Akija Taifa Stars makocha wanamchezesha nyuma ya washambuliaji, sehemu ambayo si rafiki kwake kwa sasa. Sawa na Msuva, ukimweka pembeni ni ngumu kupata ubora wake kama alivyokuwa anafanya miaka saba nyuma.

account_circle