Musoma boy ๐Ÿ—ก๏ธ (@mbaisamwel) 's Twitter Profile
Musoma boy ๐Ÿ—ก๏ธ

@mbaisamwel

SDA member,,/ born to be a leader/ Yanga fans ๐Ÿ’š

ID: 1197547376883441666

calendar_today21-11-2019 16:08:50

2,2K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

TICHA MANDEVU13 (@tichamandevu) 's Twitter Profile Photo

Kaka si umeona maisha yako magumu ? Sasa ongeza hivi na umeoa hakuna pesa hakuna michongo alafu malizia mifumo haipo kabisa. Kua na subira jijenge kiasi alafu ingia kwenye hizo masuala ya kuoa. safi๐Ÿ†

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha Una Mtu Ambae Anasikia Sauti Ambayo Ipo Ndani Yako Na Kuielewa, Awe Karibu Yako Au Mbali Lazima Asikie Sauti Yako Ndani Yake, MUNGU Bariki Watu Sahihi Kwenye Maisha Yetuโ€ฆโ€ฆ..โœ๐Ÿฝ

Hakikisha Una Mtu Ambae Anasikia Sauti Ambayo Ipo Ndani Yako Na Kuielewa, Awe Karibu Yako Au Mbali Lazima Asikie Sauti Yako Ndani Yake, MUNGU Bariki Watu Sahihi Kwenye Maisha Yetuโ€ฆโ€ฆ..โœ๐Ÿฝ
SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Bana mademu ni wakatili sana, huyu ananiambia โ€” Jeff, Mfalume wangu, uje kwangu leo nataka kukupikia Chicken Biriani. Wewe nunua tu mtungi wa gesi, mchele na kuku, mimi nitanunua kiberiti na kitunguu

Tanzania Adventist On X (@tanzaniaon) 's Twitter Profile Photo

Jua linaposhuka mioyo yetu inageukia kwa upole kukumbatia takatifu la Sabato. Maandalizi yako yajazwe na hisia ya kina ya shukrani na matarajio ya furaha kwa pumziko la utulivu linalongojea. Nakutakia Sabato iliyobarikiwa. #SabatoNjema

Jua linaposhuka mioyo yetu inageukia kwa upole kukumbatia takatifu la Sabato. Maandalizi yako yajazwe na hisia ya kina ya shukrani na matarajio ya furaha kwa pumziko la utulivu linalongojea. Nakutakia Sabato iliyobarikiwa.
#SabatoNjema
Wolves (@wolves) 's Twitter Profile Photo

We are heartbroken. Diogo was adored by our fans, loved by his teammates and cherished by everyone who worked with him during his time at Wolves. The memories he created will never be forgotten. Our hearts go out to the family, friends and loved ones of Diogo and his brother,

We are heartbroken.

Diogo was adored by our fans, loved by his teammates and cherished by everyone who worked with him during his time at Wolves. The memories he created will never be forgotten.

Our hearts go out to the family, friends and loved ones of Diogo and his brother,
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Hizi manzi zimejipanga Hapa SINZA -KITAMBAA CHEUPEโ€ฆ ukikutana nao mchana pale Mliman City - KFC au MaryBrown UNATONGOZA aisee๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Ndio maana mm dem hata awe mzuri kivipi- Sitongozi barabaran au mtaani๐Ÿ˜‚ TAXI BUBU nyingi saana- Dar Es Salaam๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”

maila (@maila_kasorii) 's Twitter Profile Photo

Siku hizi misibani ndio imekua sehemu za ndugu,jamaa na marafiki kukutana na kwenda kulewa baada ya mazishi..!!!๐Ÿ™Œ Ni kwamba hatuna utaratibu tena wa kukutana mara kwa mara mpaka itokee misiba au sherehe??๐Ÿค”๐Ÿค”

SIR JEFFโšก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Najua watu wenye IQ ndogo watabisha, ila ukweli ni kwamba neno 'salary' linatokana na 'salarium - chumvi' Hii ni posho ambayo askari wa Kirumi walikuwa wanapewa maalumu kwa ajili ya kununua chumvi Salary si pesa ya kukukomboa kiuchumi, ni ya chumvi, sabuni, na mafuta ya mgando