Man of protocol (@manofprotocol1) 's Twitter Profile
Man of protocol

@manofprotocol1

Usawa kwa kila mtu

ID: 1568828378211405825

calendar_today11-09-2022 05:08:09

28,28K Tweet

1,1K Followers

5,5K Following

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Haji Khamis amesema akishinda atashughulikia masuala ya maadili kwenye jamii.

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.