Handsome La Kijiji (@manenoizaak) 's Twitter Profile
Handsome La Kijiji

@manenoizaak

Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe
Maisha yangu.

ID: 2879039050

linkhttp://www.ManenoIzaak.tz.com calendar_today16-11-2014 02:59:38

505,505K Tweet

428,428K Followers

6,6K Following

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Mwapalala katika shule ya Amali ya Itilima ikiwa ni kwa niaba ya shule 26 za Amali zitakazojengwa Tanzania bara. #KumenogaSioMchezo

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Mwapalala katika shule ya Amali ya Itilima ikiwa ni kwa niaba ya shule 26 za Amali zitakazojengwa Tanzania bara.

#KumenogaSioMchezo
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Siku nyingine katika kazi na wananchi shuleni na viwandani, Wilaya ya Itilima na kisha Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Ni faraja kubwa kuona matunda ya kazi za Serikali katika maisha ya wananchi, hasa katika leo ya vijana na kesho ya watoto wa taifa letu. Faraja kubwa zaidi

Siku nyingine katika kazi na wananchi shuleni na viwandani, Wilaya ya Itilima na kisha Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. 

Ni faraja kubwa kuona matunda ya kazi za Serikali katika maisha ya wananchi, hasa katika leo ya vijana na kesho ya watoto wa taifa letu. Faraja kubwa zaidi
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Amali Mwamapalala, Itilima, ikiwa ni miongoni mwa shule 26 mpya za aina hiyo nchini. Amesisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa kujitegemea baada ya kidato cha nne. #KumenogaSioMchezo

Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Shule ya Amali Mwamapalala, Itilima, ikiwa ni miongoni mwa shule 26 mpya za aina hiyo nchini. Amesisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa kujitegemea baada ya kidato cha nne.

#KumenogaSioMchezo
Paul Clementy (@paulclementy) 's Twitter Profile Photo

📍Itilima, Simiyu Rais Samia ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, akisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira. #KumenogaSioMchezo

📍Itilima, Simiyu

Rais Samia ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, akisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira.
#KumenogaSioMchezo
Handsome La Kijiji (@manenoizaak) 's Twitter Profile Photo

Mhe Rais Samia Suluhu ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, Mhe Rais mesisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira nchini. #KumenogaSioMchezo

Mhe Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, Mhe Rais mesisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira nchini. 
#KumenogaSioMchezo
Rezam Si𝕏 (@rezam06) 's Twitter Profile Photo

Nawasogezea Shule ya Mwamapalala Vocational Education Secondary School, Ni shangwe tu kwa wanafunzi mpaka Sasa. #KumenogaSioMchezo

Nawasogezea Shule ya Mwamapalala Vocational Education Secondary School, Ni shangwe tu kwa wanafunzi mpaka Sasa.

#KumenogaSioMchezo
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

📍Itilima, Simiyu Rais Samia ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, akisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira. #KumenogaSioMchezo

📍Itilima, Simiyu

Rais Samia ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, akisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira.
#KumenogaSioMchezo
Sonnino⚡ (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

"Let’s give ourselves the permission to Create, Connect, and Commit to breaking free from the past through Pan-African trade. Because our future is built by us." ~| Ray Youssef #RayXFFT

"Let’s give ourselves the  permission to Create, Connect, and Commit to breaking free from the past through Pan-African trade.
Because our future is built by us." ~| <a href="/ray_noOnes/">Ray Youssef</a>

#RayXFFT
KAPETO🇹🇿 (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

📍Itilima, Simiyu Tanzania. Rais Samia ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, akisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira. #KumenogaSioMchezo #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia

📍Itilima, Simiyu Tanzania. 

Rais Samia ameweka jiwe la msingi kwenye Shule ya Amali Mwamapalala, akisisitiza umuhimu wa elimu ya ujuzi kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri na kukabiliana na changamoto za ajira.
#KumenogaSioMchezo #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia
SiasaZetu (@zetusiasa) 's Twitter Profile Photo

Pendekeza mwanamke ambaye ungetamani kusikia safari yake ya kisiasa — changamoto alizopitia, mafanikio aliyoyapata, na ndoto anazozililia kwa ajili ya kizazi kijacho. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo

Pendekeza mwanamke ambaye ungetamani kusikia safari yake ya kisiasa — changamoto alizopitia, mafanikio aliyoyapata, na ndoto anazozililia kwa ajili ya kizazi kijacho.

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo