HUSSEIN MAJALIWA (@majaliwa_h) 's Twitter Profile
HUSSEIN MAJALIWA

@majaliwa_h

katibu hamasa kata ya kitunda
na

mwenyekit mstaafu wa Uvccm kata ya kitunda#SSC

ID: 1876944610854920192

calendar_today08-01-2025 10:51:27

5,5K Tweet

648 Followers

3,3K Following

𝑫𝒓.π‘―π’Šπ’π’‚π’“π’š π’˜π’‚ π’€π’‚π’π’ˆπ’‚π• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia ameendelea kuandika historia ya mafanikio kwa Watanzania. Uongozi wake umekuwa dira ya matumaini, maendeleo na ustawi wa taifa. CCM wameridhishwa na mafanikio haya yanayoonekana kila kona ya nchi yetu. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Mama Samia ameendelea kuandika historia ya mafanikio kwa Watanzania. 

Uongozi wake umekuwa dira ya matumaini, maendeleo na ustawi wa taifa. 

CCM wameridhishwa na mafanikio haya yanayoonekana kila kona ya nchi yetu.
#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
BarakaWambura (@barakawamb) 's Twitter Profile Photo

RAIS Samia Suluhu amekua akihimiza Amani na Mshikamano wa kidini,ameonyesha usawa Kwa kuteuwa viongozi wa Dini mbalimbali hata kama si wanaotokana na Imani yake, Kwa msingi huu amejijengea heshima na kutambuliwa kama RAIS wa watu wote. Hawa watumishi wa Shetani wasituharibie Dini

RAIS <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> amekua akihimiza Amani na Mshikamano wa kidini,ameonyesha usawa Kwa kuteuwa viongozi wa Dini mbalimbali hata kama si wanaotokana na Imani yake,
Kwa msingi huu amejijengea heshima na kutambuliwa kama RAIS wa watu wote.
Hawa watumishi wa Shetani wasituharibie Dini
HUSSEIN MAJALIWA (@majaliwa_h) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhamia CHAUMA

#HABARI Iliyokuwa Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) 

Uamuzi wa kufuta jina la CHADEMA na kubadili kuwa CHAUMMA ni baada ya aliyekuwa akiisimamia ofisi hiyo kuhamia CHAUMA
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’› 2025 βœ… πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›
2025 βœ… πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Furaha Panja (@furahapanja) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Mama kazini . ahsante sana MamaπŸ™ Kongamano Kubwa la Tafakuri Ya WASOMI na Miaka Minne Ya Rais Samia Nkurumah hall DSM ,Kamwe hatutoludi nyuma kuyasema Mema ambayo Rais wetu amefanya. #Kazinautu #TunasongaMbele

Sabrina🌷 (@officielsajah) 's Twitter Profile Photo

Anawajali watanzania wote bila kujali makundi yao, bila kujali dini zao, bila kujali haiba zao wala umri wao. Huyu ni mlezi wa Taifa, anaitwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Anawajali watanzania wote bila kujali makundi yao, bila kujali dini zao, bila kujali haiba zao wala umri wao.

Huyu ni mlezi wa Taifa, anaitwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

KKKT wameonyesha kuwa imani ya kweli hujengwa kwa matendo. Rais Samia amesifu juhudi zao kwa watoto wenye uhitaji kama msingi wa jamii yenye huruma na mshikamano. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

KKKT wameonyesha kuwa imani ya kweli hujengwa kwa matendo. 

Rais Samia amesifu juhudi zao kwa watoto wenye uhitaji kama msingi wa jamii yenye huruma na mshikamano.
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
𝐉𝐫 ο£Ώ (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

Kwa kushiriki harambee ya kusaidia watoto wenye mahitaji maalum, Rais Samia ametufundisha kuwa huduma ya kweli ya kiroho huonekana katika matendo ya huruma. KKKT wamegeuza imani kuwa matendo ya upendo kwa jamii. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Kwa kushiriki harambee ya kusaidia watoto wenye mahitaji maalum, Rais Samia ametufundisha kuwa huduma ya kweli ya kiroho huonekana katika matendo ya huruma. 

KKKT wamegeuza imani kuwa matendo ya upendo kwa jamii.

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Sabrina🌷 (@officielsajah) 's Twitter Profile Photo

Samia Aongeza Vitanda vya Wagonjwa Idadi ya vitanda vya wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini imeongezeka kutoka vitanda 86,131 mwaka 2021 hadi vitanda 153,683 Machi, 2025. Ongezeko la vitanda vya wagonjwa limesaidia kuongeza ubora na ufanisi wa huduma za

The Manywele (@manywele_ze) 's Twitter Profile Photo

Ni nadra sana kwa kiongozi mkuu wa nchi kama Dkt. Samia Suluhu Hassan kuongoza tukio kama hili kwa namna ya karibu na ya kugusa moyo. Dkt. Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya kesho kwa kuwainua watoto wetu walio katika mazingira magumu leo. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Ni nadra sana kwa kiongozi mkuu wa nchi kama Dkt. Samia Suluhu Hassan kuongoza tukio kama hili kwa namna ya karibu na ya kugusa moyo.

Dkt. Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya kesho kwa kuwainua watoto wetu walio katika mazingira magumu leo.

#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Kama Ahmedy Ally anajua Kuna Kuheshimu Mamlaka Basi Tarehe 8 Simba wasingegoma Kucheza kwa sababu za Kipuuzi ambazo hata Kwenye kanuni hazipo..!!

Kama Ahmedy Ally anajua Kuna Kuheshimu Mamlaka Basi Tarehe 8 Simba wasingegoma Kucheza kwa sababu za Kipuuzi ambazo hata Kwenye kanuni hazipo..!!
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi. Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. Katika kipindi

Maendeleo ni hatua. Maendeleo ni kazi.

Siku ya tatu katika kazi na mazungumzo na wananchi mkoani Simiyu, kwenye wajibu wa Serikali kuhakikisha utekelezaji wa mipango na sera za Serikali unagusa na kuboresha maisha ya wananchi zaidi ya milioni mbili wa mkoa huu. 

Katika kipindi