#UZI
#BusaraZaBonge
My future wife ita na mashoga zako na wake watarajiwa wa watu wengine kuna ujumbe wenu hapa. Usilalamike ukaona kuwa sijali confidentiality kati yatu, hapana! nafanya hivi kwa maslahi ya wengi.
Dalili 5 kuwa ww ni mvivu na maskini wa kutupwa. #1unatafuta visingizio badala ya pesa. #2Unaamini ungesoma sn ungekuwa na maisha mazuri kuliko unayoishi.#3Unaamini wazazi hawakukujengea msingi mzuri.#4Unafikiria zaidi ajira kuliko kujiajiri.#5Unalaumu serikali. (BADILIKA).
Nabeba Lawama Zote za Wewe kuwa na followers kiduchu
π Retweet Kwanza
π Unafollo Retweet Zote
πUna Dondosha Handle
π Unafolo Handle Zote
πTuwe siriaz Leo Lazima Kila Mmoja Apate +1K πͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Ardhi imemeza vijana wengi sana nyakati hizi sababu ya msongo wa wawazo. Vijana tupunguze matarajio makubwa sana kutoka kwa watu, tupambane na tusikate tamaa na Tuweke tumaini kubwa kwa MUNGU.
At all times, be fair and just. Even with your enemies and those you strongly dislike. Don't let your emotions, anger or hate get in the way, leading you to behave unfairly. A believer is always balanced and careful. Give others a chance.
No one is doomed for as long as you feel remorse after youβve sinned. As long as youβre seeking forgiveness, the Almighty will forgive you. Satan will tease and taunt you that youβre not worthy of being forgiven. Ignore such thoughts. Never doubt His Mercy.