𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚
@leahbtz
Social Media & Communication Expert | Member of @G_MachelTrust @FPA_Africa & @TAMWA_ |YouTube: @MediaLiteracy101 |All views are personal
ID: 235962322
09-01-2011 13:48:13
1,1K Tweet
2,2K Followers
589 Following
🔵Tunaomboleza🇺🇳 "Mimi na familia yote ya United Nations tunaomboleza kuwapoteza wafanyakazi wenzetu wengi wa UNRWA Katikati ya mateso na maumivu yasiyofikirika, wafanyakazi wenzao huko #Gaza wanaendelea kuwahudumia wenye uhitaji licha ya hatari kubwa kwa maisha yao." António Guterres
𝓚𝓘𝓞𝓝𝓙𝓞 cha Habari za UN a 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚 📌Miradi ya UN Land and Drought yajengea mnepo jamii #Kenya 📌Magenge ya uhalifu na vitisho kwa raia #Haiti 🇭🇹
#HabarizaUN kwa ufupi na Evarist Mapesa 🎯 Kila baada ya dakika 10 mtoto mmoja anauawa #Gaza - World Health Organization (WHO) 🎯 "Mateka watoto wanaoshikiliwa na #Hamas lazima waachiliwe huru." - James Elder, Msemaji wa UNICEF 🎯 Na kuelekea #COP28UAE...
Heri ya mwaka mpya 2024 kutoka kwetu sote hapa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa Habari za UN Kutoka kushoto: 🔷Anold Kayanda Anold Kayanda 🔷Flora Nducha Flora Nducha 🔷Leah Mushi 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚 🔷Assumpta Massoi assumpta massoi
Mwaka 2024 rasmi #kiswahili kuanza kutumika kwenye shughuli za East African Community ya Afrika Mashariki - Asema Amb.(Dr.)Peter Mutuku Mathuki,PhD Katibu Mkuu wa #EAC katika mahojiano na 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚
Je, maendeleo ya Akili Mnemba #ArtificialIntelligence #AI kama #ChatGPT ya OpenAI ni baraka au laana kwa ufundishaji wa #Kiswahili duniani? Msikilize Dkt. Filipo Lubua Filipo Lubua, Rais wa Chaukidu akihojiwa na 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚 wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.
Hii leo kutoka Geneva🇨🇭& New York 🇺🇸 Mashariki manne ya United Nations ambayo ni lile la Mpango wa chakula duniani World Food Programme, Afya ulimwenguni World Health Organization (WHO), linalohusika na masuala ya watoto UNICEF na la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA wametoa taarifa ya pamoja kuhusu Gaza na nini kifanyike.
Muhtasari wa #HabarizaUN ukiwasilishwa na 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚 🎯 .Volker Türk na Filippo Grandi watoa wito kwa Uingereza kuhusu kuwapeleka #Rwanda waomba hifadhi. 🎯 Ripoti za kutisha zinaendelea kuibuka #Gaza. 🎯 Kuna ongezeko la #cholera kipindupindu duniani - World Health Organization (WHO)
Maandamano Kenya🇰🇪: Katibu Mkuu United Nations António Guterres anafuatilia kwa karibu yanayoendelea #Kenya anataka haki ya kuandamana iheshimiwe - UN Spokesperson
#NewYork Mwakilishi wa Kudumu wa #Tanzania kwenye #UN Balozi Hussein Kattanga akiwasilisha mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Rasimu ya Azimio la kutambua Julai 7 kuwa siku ya Kimataifa ya lugha ya Kiswahili. MFA Tanzania Kwa sasa UNESCO 🏛️ #Education #Sciences #Culture 🇺🇳 ndio inatambua siku hii.
Leo ni siku ya Kiswahili duniani, maadhimisho yakifanyika huku lugha hiyo ikiwa imetambuliwa sasa na Umoja wa Mataifa. Sikiliza ujumbe maridhawa kutoka kwa wanafunzi hawa wa Chuo Kikuu cha Ghana University of Ghana #KiswahililanguageDay UNESCO 🏛️ #Education #Sciences #Culture 🇺🇳
𝐌𝐔𝐇𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 📌Shehena ya mafuta ⛽yaingia #Gaza United Nations 📌 WHO/Europe yasema #mpox si kama #Covid itadhibitiwa haraka. Nchi za Ulaya zisaidie chanjo #Africa 📌Leo ni #MosquitoDay World Health Organization (WHO) yasema 🦟anaua licha ya kuweko 💉💊 Anold Kayanda 𝕃𝕖𝕒𝕙 𝕄𝕦𝕤𝕙𝕚
Hayawi hayawi yamekuwa! Vijana wameanza kuingia makao makuu ya #UN 🇺🇳 kuwasilisha hoja zao kuelekea #SummitoftheFuture2024 Septemba 20 Dorice Mkiva wa UN Volunteers ataeleza jinsi yeye na UNICEF Tanzania wanashirikiana kuboresha #OurCommonFuture Amezungumza na Flora Nducha #UNGA79
#UNGA Tayari Waziri Mkuu wa #Tanzania 🇹🇿Kassim Majaliwa Majaliwa amefika katika studio za #UN 🇺🇳jijini New York, Marekani mwa mahojiano na Flora Nducha Flora Nducha