Kyoma Waitu
@kyomawaitu
ID: 1845477761340637198
13-10-2024 14:53:19
623 Tweet
160 Followers
169 Following
Nchi yangu kwanza Wizara ya Katiba na Sheria SISI NI TANZANIA #KatibaMpya Matokeo ChanyA+ MSLegalAidCampaign Samia Suluhu Tanganyika Law Society(TLS) LHRC Boniface Mwabukusi MSLAC imechochea wananchi kuheshimu katiba na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa na kila taasisi na mtu binafsi awe raia au mgeni. Imeweka umuhimu wa kuheshimu na kuhakikisha haki ninatendeka kwa misingi ya usawa bila ubaguzi. #sisinitanzania #MSLAC
Nchi yangu kwanza Wizara ya Katiba na Sheria SISI NI TANZANIA #KatibaMpya Matokeo ChanyA+ MSLegalAidCampaign Samia Suluhu Tanganyika Law Society(TLS) LHRC Boniface Mwabukusi JE KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA IMEKUWA NA TIJA NA MSAADA KWA WATANZANIA?? MSAADA HUU UNATOSHA AMA BADO SERIKALI HAIJASAIDIA IPASAVYO NA JE NINI KIFANYIKE ILI MSAADA UWE NA TIJA KWA JAMII YA WATANZANIA? NAOMBA MAJIBU MTOA MADA SISI NI TANZANIA Nchi yangu kwanza MSLegalAidCampaign