Walter Shiusa juma (@kshiusa) 's Twitter Profile
Walter Shiusa juma

@kshiusa

ID: 1380789855681191936

calendar_today10-04-2021 07:49:15

3,3K Tweet

41 Followers

35 Following

Mkamburi (@carrie_mkamburi) 's Twitter Profile Photo

Kulingana na hesabu zangu nikiwa mtoto, ilikuwa nafaa nikimaliza university na miaka 21, nipate Kazi nikiwa 22years, Kisha nijenge nyumba by 24, 25 niwe naendesha sports car yangu, na mwaka huu niwe nimeshaolewa. Lakini life! Wewe hesabu yako ilikuwaje? #mkash #carolinemkamburi

Kulingana na hesabu zangu nikiwa mtoto, ilikuwa nafaa nikimaliza university na miaka 21, nipate Kazi nikiwa 22years, Kisha nijenge nyumba by 24, 25 niwe naendesha sports car yangu, na mwaka huu niwe nimeshaolewa. Lakini life! Wewe hesabu yako ilikuwaje?

#mkash #carolinemkamburi
Mtoto Mzuri-SuperChonnie (@mtotomzuri001) 's Twitter Profile Photo

Ni kwa Nini watu wawili walioachana mmoja huenda akawa vizuri sana na mwengine anaishia kuwa na mahangaiko.. Unadhani kwa Nini? Mada Ya Siku-Kauli yako Ni Ipi 0700 17 66 99 0732 745 111 KBC Radio Taifa Mwajuma Ally Mtoto Mzuri-SuperChonnie #TafrijaChaguoLako

Ni kwa Nini watu wawili walioachana mmoja huenda akawa vizuri sana na mwengine anaishia kuwa na mahangaiko..
Unadhani kwa Nini?
Mada Ya Siku-Kauli yako Ni Ipi

0700 17 66 99
0732 745 111

KBC Radio Taifa
Mwajuma Ally
Mtoto Mzuri-SuperChonnie

#TafrijaChaguoLako
Mtoto Mzuri-SuperChonnie (@mtotomzuri001) 's Twitter Profile Photo

Je Ni Lazima urafiki uwe wa Kufaana ,kufaidishana? ?ama hata bila Kufaana urafiki unaweza Kuwa? Mada ya siku -Kauli yako Ni Ipi? 0700 17 66 99 0732 745 111 KBC Radio Taifa Mtoto Mzuri-SuperChonnie Mwajuma Ally #TafrijaChaguoLako 'Hii Ni Kubwa,Na si chocha'

Je Ni Lazima urafiki uwe wa Kufaana ,kufaidishana? ?ama hata bila Kufaana urafiki unaweza Kuwa?

Mada ya siku -Kauli yako Ni Ipi?

0700 17 66 99
0732 745 111

KBC Radio Taifa
Mtoto Mzuri-SuperChonnie
Mwajuma Ally

#TafrijaChaguoLako
'Hii Ni Kubwa,Na si chocha'