Kitundu Asaph (@kitunduasaph) 's Twitter Profile
Kitundu Asaph

@kitunduasaph

ID: 1617410138251354112

calendar_today23-01-2023 06:33:45

36 Tweet

29 Followers

552 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kwa @mdudechadematz naomba repost 200 chap chap tukaumbue POLISI kimataifa. Leo kitabu cha simulizi ya mateso yangu kwa lugha ya kingereza kimeingizwa rasmi sokoni katika platform za kuuza vitabu duniani ikiwemo Amazon. Dunia inaenda kujua ukatili wa polisi na Usalama wa

Kutoka kwa @mdudechadematz naomba repost 200 chap chap tukaumbue POLISI kimataifa.

Leo kitabu cha simulizi ya mateso yangu kwa lugha ya kingereza kimeingizwa rasmi sokoni katika platform  za kuuza vitabu duniani ikiwemo Amazon. Dunia inaenda kujua ukatili wa polisi na Usalama wa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Gun Survivors, Here We Go.✌🏾 Tutamnadi LISU KWA WIVU MKUBWA. Tunajua hatuwezi kupiga kura, Wajumbe tunaomba mtuelewe kipindi hiki. 🔥🔥 Repost 400 za utangulizi.🫡

Gun Survivors, Here We Go.✌🏾

Tutamnadi LISU KWA WIVU MKUBWA.

Tunajua hatuwezi kupiga kura, Wajumbe tunaomba mtuelewe kipindi hiki. 🔥🔥

Repost 400 za utangulizi.🫡
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kama amabavyo mnajua sisi WABANGAIZAJI. Tunaomba tumchangie MAKAMU TUNDU LISSU tuwezeshe safari yake ya KAMPENI za kutafuta Kura kwa WAJUMBE. Unataka MABADILIKO? Tumchangie TAL akayalete MABADILIKO ya kweli.🫡 REPOST 200🔥🚀

Kama amabavyo mnajua sisi WABANGAIZAJI.

Tunaomba tumchangie MAKAMU TUNDU LISSU tuwezeshe safari yake ya KAMPENI za kutafuta Kura kwa WAJUMBE.

Unataka MABADILIKO?

Tumchangie TAL akayalete MABADILIKO ya kweli.🫡

REPOST 200🔥🚀
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message siku ya Jumatano. Mimi nitakuwa busy na furaha siku hiyo.