Fares KIBERA
@kibelaf
Ceo KiberaSeaboys🎼🎼
ID: 801674493857034240
24-11-2016 06:31:08
424 Tweet
273 Followers
411 Following
Nilidhan utaandika na kuonyesha hilo tatizo la kimantiki.... Togolani Mavura amechokoza mada... kama kuna eneo walijua kinyume chake ungekuja na hoja badala ya kuwaachia unaodhan wanapotosha wakaendelea kupotosha
@Jo7times Jamii Forums katika Biblia, Yesu aliwasema sana Mafarisayo n.k., viongozi wa Mayahudi. Wafuasi wake waliona ukwelil mtupu, Mafarisayo waliona ni uchochezi. Hadi ilibidi Pilato aulize 'ukweli ni kitu gani'? Nani anaamua lipi na kweli na lipi si kweli?