Bʟᴀᴄᴋᴍᴏᴏɴ (@kenerd15) 's Twitter Profile
Bʟᴀᴄᴋᴍᴏᴏɴ

@kenerd15

☞ Graphic Designer

#I_FOLLOW_BACK

@Young_africa_sc

ID: 1217461985748705280

calendar_today15-01-2020 15:02:45

8,8K Tweet

1,1K Followers

826 Following

𝐆𝐚𝐯𝐢𝐧𝐝𝐞 💎 (@techygaspar) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU: Mambo 10 ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Computer Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, uzi huu utakusaidia kufanya mmchaguzi 👇

FAHAMU: Mambo 10 ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Computer

Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, uzi huu utakusaidia kufanya mmchaguzi 👇
𝐄𝐥 𝐊𝐧𝐨𝐰𝐬 (@iam_elknows) 's Twitter Profile Photo

Kama una akaunti yako ya PayPal ipo tu hai ingizi pesa yoyote si Bora ufanye hata hizi project hapa chini upate walau $10,$20 hadi $30 Sio pesa nyingi ila ukizipata zinweza kusaidia kusave bando hata bills kidogo kuliko kua na PayPal halafu haipokei pesa yoyote Thread 👇

Kama una akaunti yako ya PayPal ipo tu hai ingizi pesa yoyote si Bora ufanye hata hizi project hapa chini upate walau $10,$20 hadi $30 

Sio pesa nyingi ila ukizipata zinweza kusaidia kusave bando hata bills kidogo kuliko kua na PayPal halafu haipokei pesa yoyote 

Thread 👇
Movie Library. (@movie96081) 's Twitter Profile Photo

Top seven Heros and Battle most Epic and Gripping War Movies You Must watch this weekend📽️🎬 CHAGUA MOJA KATI YA HIZI UTANISHUKURU BADAE🎥🎥 Matambara n ya motoo sanaaa 1. To Die For

Top seven Heros and Battle most Epic and Gripping War Movies You Must watch this weekend📽️🎬
CHAGUA MOJA KATI YA HIZI UTANISHUKURU BADAE🎥🎥
Matambara n ya motoo sanaaa

1. To Die For
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Maiti inayokutwa eneo la tukio huwa ni kielelezo cha muhimu kwa wapelelezi kupeleleza kesi za mauji. Hapa mpelelezi anapaswa kuwa amepigwa msasa wa utatuzi wa mikasa ya mauaji kwa kutumia forensic Science. Uzi👇 STAGES OF POSTMORTEM

Maiti inayokutwa eneo la tukio huwa ni kielelezo cha muhimu kwa wapelelezi kupeleleza kesi za mauji.

Hapa mpelelezi anapaswa kuwa amepigwa msasa wa utatuzi wa mikasa ya mauaji kwa kutumia forensic Science.

Uzi👇

STAGES OF POSTMORTEM
Tiffany🇿🇦 (@metjahtebogo) 's Twitter Profile Photo

Stanford University is offering free online courses. NO Payment Required! Here are 11 FREE courses you DO NOT want to miss in 2024 👇👇👇

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

ROSTAM AZIZ alizituhumu Mahakama za Tanzania kupokea maelekezo kutoka Serikalini ndiyo maana wafanyabiashara wanakwenda Mahakama za kimataifa. Hilo linaendelea kudhihirika katika kesi ya kutekwa na kupotezwa Deusdedith Soka. NB; Video hii, imefutwa YouTube channels karibu zote.

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Ukiona Kijana mdogo kwenye harakati hajachagua kuwa Mwizi bali kushika biashara na kutembeza, ukishindwa kununua basi mpe salute zake tu. Ukiona Kijana Mdogo ofisini anapambana usiwe kikwazo kwake, hujui nyuma wapo wangapi wanamtazama, akikosea mshike mkono usimtazame kama

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Habari!! Nakuja tena kwenu. Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii Nay wa Mitego. #Naythetrueboy Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa

Habari!! Nakuja tena kwenu.

Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii  Nay wa Mitego.  
<a href="/naythetrueboy/">#Naythetrueboy</a> 

Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa
BIDEN (@john__himself) 's Twitter Profile Photo

NIMEKUTANA NA HII..🔥 KING kaleta uJaymelody kamaliza na uKing wake ikafungwa na mwenye Maua yake...!! Ngoma itakua kali..!! #SamaEp #Itakuwaje Vipaji vimekutana..!!

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Sijajua wewe ni dini gani lakini wacha nikusaidie kidogo kwenye maandiko. Unajisi ni nini?? Yesu anasema Unajisi sikatika mwili bali katika roho. Ukitaka kuthibitisha kuwa unajisi sio katika mwili, Yesu aliulizwa na mafarisayo ambao hawa waliishi sana Torati ya Musa ambayo

bongotech2⁵5🎮🎧🛜 (@bongotech255) 's Twitter Profile Photo

𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗔𝗱𝗺𝗶𝗻 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗴𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗹𝗼𝗹𝗼𝘁𝗲 𝗹𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ? Uzi ni wako 💡

𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗔𝗱𝗺𝗶𝗻 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗴𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗹𝗼𝗹𝗼𝘁𝗲 𝗹𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽

Najua umeshawahi  kujiuliza  hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ? 

Uzi ni wako 💡
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Umemaliza chuo una Bundle? JIFUNZE HIZI SKILLS BURE LEO UPATE NA CHETI UDEMY| PROMOCODE ZIKO VALID WITHIN 24HRS tu. 1. Adobe After Effect 2. Complete Graphics Design 3. Microsoft Office: 4. Web Development 5. UIUX with Figma and Adobe XD Repost #MadiniYaGaby

Umemaliza chuo una Bundle?

JIFUNZE HIZI SKILLS BURE LEO UPATE NA CHETI UDEMY| PROMOCODE ZIKO VALID WITHIN 24HRS tu.

1. Adobe After Effect
2. Complete Graphics Design
3. Microsoft Office:
4. Web Development
5. UIUX with Figma and Adobe XD

Repost #MadiniYaGaby