KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kapeto98) 's Twitter Profile
KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@kapeto98

Insurance | Risk Management | Citizen | Founder Of @Absgroup_tz @KapetoMall | Arsenal Fan ๐ŸŽˆ

ID: 1241301299800543232

calendar_today21-03-2020 09:51:22

288,288K Tweet

127,127K Followers

3,3K Following

KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Kuna Jamaa Wa Simba nimeongea nae Hapaa Kanambia kwa Mwaka Huu Simba hawezi Kukutana na Yanga. Game ya FA Simba atafugwa na Singida Ili tu wasikutane na Yanga Na Kama kawaida Yanga tarehe 15 hawachezi. Kama namuelewa Hivii Mwaka huu Kwenye Mpira kuna Mambo Mengi sana

Glory Livingstone (@glorylivingst13) 's Twitter Profile Photo

Chanzo cha Msongo kwa vijana ni pamoja na migogoro na: โ€ขMarafiki โ€ขFamilia โ€ขWapenzi huchangia pakubwa msongo wa kihisia. Vijana wanapokosa kuelewana au kukubalika kijamii, hujihisi pweke, wasio na msaada, na wasiothaminiwa. #ElimikaWikiendi

Chanzo cha Msongo kwa vijana ni pamoja na migogoro na:
โ€ขMarafiki
โ€ขFamilia
โ€ขWapenzi
huchangia pakubwa msongo wa kihisia. Vijana wanapokosa kuelewana au kukubalika kijamii, hujihisi pweke, wasio na msaada, na wasiothaminiwa.

#ElimikaWikiendi
Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu amesema anawashukuru wawakilishi wa wananchi (wabunge) kwa kutambua kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya awamu ya sita. #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

"Penye haki amani hutawala na maendeleo huonekana."- Rais Samia Suluhu #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

"Kazi mliyoitambua leo [Bunge la Tanzania] haitokani na nguvu zangu, uhodari na maarifa ya peke yangu, bali inatokana na uwepo wa mipango mbalimbali ya nchi yetu na vile vile ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025."- Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

"๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ฎ ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ด๐˜‚๐˜ƒ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚, ๐˜‚๐—ต๐—ผ๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ด๐˜‚, ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—น๐—ฒ

Ms_Genya (@scholadecaprado) 's Twitter Profile Photo

Official brand Ambassador wa #JustFitYardSale ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคŒ My Jersey from One and Only Mkali Just Fit ๐Ÿค— Sale bado inaendelea hapa Makai Street, Masaki kesho ndio mwisho.

Official brand Ambassador wa #JustFitYardSale ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคŒ 

My Jersey from One and Only Mkali <a href="/JustFittz/">Just Fit</a> ๐Ÿค—

Sale bado inaendelea hapa Makai Street,  Masaki kesho ndio mwisho.
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Mzazi, likizo hii iwe mwanzo wa future bora kwa mtoto wako! KodeUni wanakuleta #SummerCodeSurge2025 darasa la kompyuta kwa watoto wa miaka 5โ€“18. Kwa siku 10 tu, mwanao atajifunza coding na kufungua milango ya Teknolojia ya kesho yake! ๐Ÿ—“๏ธ June 09 โ€“ July 18 ๐Ÿ“ Dar es

Mzazi, likizo hii iwe mwanzo wa future bora kwa mtoto wako! 

<a href="/KodeUniKids/">KodeUni</a> wanakuleta #SummerCodeSurge2025 darasa la kompyuta kwa watoto wa miaka 5โ€“18.

Kwa siku 10 tu, mwanao atajifunza coding na kufungua milango ya Teknolojia ya kesho yake! 

๐Ÿ—“๏ธ June 09 โ€“ July 18
๐Ÿ“ Dar es
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Bungeni, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini

๐Ÿ“Bungeni, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini
KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi walioajiliwa Serikalini Wanaishi maisha ya Hali ya chini Ukilinganisha Na Wafanyabiashara. Kwanini hawa Wafanyabiashara wanahimiza sana watoto wao Kusoma kwa bidii ili waje Kuajiriwa Serikalini..?

๐•ต๐–†๐–’๐–†๐–† ๐•ธ๐–š๐–š๐–Ÿ๐–† ๐•ฏ๐–†๐–œ๐–† (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

MIZIGO INAYOHUDUMIWA BANDARI YA TANGA IMEONGEZEKA Mwaka 2022/2023: Tani 750,000 Mwaka 2023/2024: Tani 3,300,000 Uwekezaji uliofanywa bandari ya Tanga umeongeza ufanisi wa bandari hiyo. #MamaYukokazini #TanzaniaYaSamia

MIZIGO INAYOHUDUMIWA BANDARI YA TANGA IMEONGEZEKA 

Mwaka 2022/2023: Tani 750,000 
Mwaka 2023/2024: Tani 3,300,000

Uwekezaji uliofanywa bandari ya Tanga umeongeza ufanisi wa bandari hiyo.

#MamaYukokazini 
#TanzaniaYaSamia
KAPETO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kapeto98) 's Twitter Profile Photo

Hapo kariakoo usku kuna kazi ya kushusha vitenge kwenye kontena kupandisha maghorofani, 30k . Hyo kazi anakimbia hadi msukuma..๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚