kalokola05
@impacthubdar
Tanzania nchi yangu
ID: 1112635227493621760
01-04-2019 08:38:04
264 Tweet
110 Followers
24 Following
๐๐๐บ๐น๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐๐ถ๐บ๐ฎ ๐๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ท๐ถ ๐ญ๐ฌ๐ฌ๐ฌ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฎ๐ท๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ถ๐บ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐จ๐บ๐๐ฎ๐ด๐ถ๐น๐ถ๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐ฎ ๐ธ๐๐ฐ๐ต๐ถ๐บ๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ ๐ป๐๐ถ๐บ๐ฎ. ๐ฉ๐ถ๐๐ถ๐บ๐ฎ ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐๐ณ๐ฎ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐๐น๐ถ๐บ๐ฎ
Aliyozungumza Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dkt. Damas Ndumbaro wakati akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka jijini Arusha tarehe 17 Desemba, 2024 Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
Maafisa dawati la msaada wa kisheria mpwapwa walifanikiwa kutembelea kata vingโawe mtaa hazina wilayani mpwapwa mkoani dodoma na kuitembelea familia Josephine kutona ambaye anaishi na mjukuu wake John Amphrey mdoe mwenye changamoto ya ulemavu. #MSLAC Wizara ya Katiba na Sheria
Kutoka halmashauri ya manispaa ya kinondoni kata ya mabwepande tulifanikiwa kupita mtaa kwa mtaa kwenye mikusanyiko ya watu na kwa mama lishe kutoa elimu juu ya msaada wa kisheria. #MSLAC Wizara ya Katiba na Sheria SISI NI TANZANIA
Mslac imewafikia wananchi wa Halmashauri ya Mtwara DC kata ya Mayanga wakitoa elimu kwa wananchi wa Kata ya Mayanga na kusikiliza changamoto zao. #MSLAC Wizara ya Katiba na Sheria SISI NI TANZANIA
Nchi yangu kwanza Kituo cha afya kilichopo Kata ya pangani, Halmashauri ya mji wa kibaha kilichogharimu kiasi cha Tshs. 309,000,000/= ambacho kimeshaanza kutoa huduma kwa wananchi. #sisinitanzania #matokeochanya #ssh
Nchi yangu kwanza Majengo Mapya ya hospitali yamejengwa kwa wingi kipindi hiki cha Serikali ya awamu ya sita kwani nasi wakaz wa halmshauri ya Mvomero tunamshukuru Rais Samia kwa kuongeza majengo mengine mapya ktk hospitali hiyo ya wilaya lengo ni kutoa huduma bora kwa wananchi. #DRSSH #MSLAC
Nchi yangu kwanza Manispaa Ya Musoma kazi nzuri imefanywa na Dr Samia Suluhu . Ukarabati wa Hospitali Ya Musoma Manispaa iliyojengwa tangu Ukoloni na Ujenzi wa Majengo Mapya (Meno & Macho). Pongezi kwa Uongozi wa Manispaa Ya Musoma #sisinitanzania #mslac #matokeochanya #ssh
Nchi yangu kwanza Huduma bora imezidi kusogezwa kwa wananchi. Hongera kwa serikali ya awamu ya sitar. #sisinitanzania #nahayandiomatokeochanya #MSLAC #SSHkaziiendelee