๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaajr_) 's Twitter Profile
๐‰๐ซ ๏ฃฟ

@imaajr_

๐ˆ๐ง๐Ÿ๐ฅ๐ฎ๐ž๐ง๐œ๐ž๐ซ ๐‰๐ซ

ID: 1617807029975801857

calendar_today24-01-2023 08:50:41

142,142K Tweet

13,13K Followers

3,3K Following

MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia amejenga Barabara mpya za lami 4,700km tofauti na 9,800km alizozikuta ikiwa ni jitihada kubwa za serikali ya awamu ya Sita( 6) katika kuongeza na kuboresha miundombinu ya barabara nchini Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya kilometa za

Rais Samia amejenga Barabara mpya za lami 4,700km
tofauti na 9,800km alizozikuta ikiwa ni jitihada kubwa za serikali ya awamu ya Sita( 6) katika kuongeza na kuboresha miundombinu ya barabara nchini 

 Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya kilometa za
Wiseman ๐Ÿ˜Ž (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Dkt.Samia Suluhu Hassan ameendelea kuweka historia kubwa katika Nchi yetu ya Tanzania. Kwa upande wa kanda ya ziwa ameweka alama kubwa ambayo vizazi na vizazi vitaendelea kumkumbuka kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Daraja la Kigongo-Busisi (Magufuli bridge)

Dkt.Samia Suluhu Hassan ameendelea kuweka historia kubwa katika Nchi yetu ya Tanzania.

Kwa upande wa kanda ya ziwa ameweka alama kubwa ambayo vizazi na vizazi vitaendelea kumkumbuka kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Daraja la Kigongo-Busisi (Magufuli bridge)
Husnaiya (@cutyhusnah) 's Twitter Profile Photo

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIAHIDI ANATEKELEZA โœ๏ธ Hakika Mama Amefanya Kweli ,Watumishi wote Wana Furaha #KaziNaUtu #TunasongaMbele

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIAHIDI ANATEKELEZA โœ๏ธ 

Hakika Mama Amefanya Kweli ,Watumishi wote Wana Furaha 
#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

BBT: Mama Samia Anajenga Kesho Njema Kupitia Vijana na Kilimo Katika kulijenga taifa lenye msingi imara wa kiuchumi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Mpango wa Building a Better Tomorrow (BBT) program ya kitaifa inayolenga kuwainua vijana kupitia kilimo chenye tija,

BBT: Mama Samia Anajenga Kesho Njema Kupitia Vijana na Kilimo 

Katika kulijenga taifa lenye msingi imara wa kiuchumi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Mpango wa Building a Better Tomorrow (BBT)  program ya kitaifa inayolenga kuwainua vijana kupitia kilimo chenye tija,
Ulimwengu๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท (@hamisuniversal) 's Twitter Profile Photo

MAMA SAMIA ANAJENGA NCHI ๐Ÿ“Œ Mradi wa Barabara ya Kimataifa ya Bagamoyo-Tanga-Horohoro Mradi wa Barabara ya Kimataifa ya Bagamoyo-Tanga-Horohoro unatekelezwa chini ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Mradi huu ni sehemu ya

MAMA SAMIA ANAJENGA NCHI ๐Ÿ“Œ

Mradi wa Barabara ya Kimataifa ya Bagamoyo-Tanga-Horohoro

Mradi wa Barabara ya Kimataifa ya Bagamoyo-Tanga-Horohoro unatekelezwa chini ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa usimamizi wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Mradi huu ni sehemu ya
Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

MADARAJA MAKUBWA YALIYOKAMILIKA KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA DKT.SAMIA SULUHU HASSAN Tangu kuingia madarakani mnamo Machi 2021, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka msisitizo mkubwa katika kuboresha miundombinu ya usafiri nchini Tanzania. Katika kipindi cha miaka minne,

MADARAJA MAKUBWA YALIYOKAMILIKA KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA DKT.SAMIA SULUHU HASSAN 

Tangu kuingia madarakani mnamo Machi 2021, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka msisitizo mkubwa katika kuboresha miundombinu ya usafiri nchini Tanzania.  Katika kipindi cha miaka minne,
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
Ngadu (@1ngadu1) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa hivyo basi usikose kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao rasmi ya kijamii. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa hivyo basi usikose kufuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia televisheni na mitandao rasmi ya kijamii. 

#kaziNaUtu
#TunasongaMbele
Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yamepata heshima ya juu kwa uwepo wa Rais. Hii ni ishara ya taifa lenye mizizi ya uzalendo. Mama Samia anatuonesha kuwa kuenzi mashujaa si kazi ya kihistoria pekee, bali ni hatua ya sasa ya kulinda kile walichokipigania. Fuatilia moja kwa moja

Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yamepata heshima ya juu kwa uwepo wa Rais. Hii ni ishara ya taifa lenye mizizi ya uzalendo.

Mama Samia anatuonesha kuwa kuenzi mashujaa si kazi ya kihistoria pekee, bali ni hatua ya sasa ya kulinda kile walichokipigania.

Fuatilia moja kwa moja
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ๐ŸŽ–๏ธ Kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa ๐Ÿ—“๏ธ 25 Julai 2025 ๐Ÿ•” Saa 5 Asubuhi ๐Ÿ“ Mtumba โ€“ Dodoma ๐Ÿ“บ Tazama mubashara kupitia TV na mitandao ya kijamii. #kaziNaUtu #TunasongaMbele

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

๐ŸŽ–๏ธ Kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa
๐Ÿ—“๏ธ 25 Julai 2025
๐Ÿ•” Saa 5 Asubuhi
๐Ÿ“ Mtumba โ€“ Dodoma

๐Ÿ“บ Tazama mubashara kupitia TV na mitandao ya kijamii.

#kaziNaUtu
#TunasongaMbele