Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile
Ilemela Manispaa

@ilemelamc

ID: 885746530350751745

calendar_today14-07-2017 06:23:23

2,2K Tweet

3,3K Followers

251 Following

Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Kliniki ya huduma za maendeleo ya jamii; WanaIlemela wajitokeza viwanja vya Furahisha kupata elimu na maelekezo kuhusu mikopo ya vikundi ya 10% inayojumuisha wanawake 4%,vijana 4% na walemavu 2% , mikopo inayotarajiwa kuanza kutolewa awamu ya pili Juni 2025

Kliniki ya huduma za maendeleo ya jamii;
WanaIlemela wajitokeza  viwanja vya Furahisha kupata elimu na maelekezo kuhusu mikopo ya  vikundi ya 10% inayojumuisha wanawake 4%,vijana 4% na walemavu 2% , mikopo inayotarajiwa kuanza kutolewa awamu ya pili Juni 2025
Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Manispaa ya Ilemela inaendelea na zoezi la kliniki ya huduma za maendeleo ya jamii kwa siku moja ya leo tarehe 12/05/2025,karibu ufahamu kuhusu masuala ya ujasiriamali,mikopo ya vikundi ya 10% na shughuli za ukuzaji uchumi zenye tija n.k

Bi Ummy Wayayu (mwenye suti nyekundu) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela akiwaongoza wajumbe wa kamati ya menejmenti kwa lengo la kukagua maeneo mbalimbali yatakayofaa kwa uwekezaji Ziara ilifanyika tarehe 21 Mei 2025 #wekezailemelakwamaendeleo #ilemelayauwekezajifursalukuki

Bi Ummy Wayayu (mwenye suti nyekundu) Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela akiwaongoza wajumbe wa kamati ya menejmenti kwa lengo la kukagua maeneo mbalimbali yatakayofaa kwa uwekezaji Ziara ilifanyika tarehe 21 Mei 2025
#wekezailemelakwamaendeleo
#ilemelayauwekezajifursalukuki
Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Kiasi cha shilingi bilioni 15.50 kimepokelewa katika sekta ya elimu sekondari na kupitia fedha hizo, shule mpya zimejengwa, tumeboresha miundombinu pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa, ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi mabweni ya wanafunzi umefanyika

Katika kipindi miaka mitano manispaa ya ilemela na maboresho makubwa yamefanyika katika sekta ya elimu msingi ambapo takriban shilingi bilioni 3.18 zimepokelewa na kutumika katika ujenzi wa shule mpya za awali na uboreshaji wa miundombinu ya shule. #RaisSamiaametekeleza

Katika kipindi miaka mitano manispaa ya ilemela na maboresho  makubwa yamefanyika katika sekta ya elimu msingi ambapo takriban  shilingi bilioni 3.18 zimepokelewa na kutumika katika ujenzi wa shule mpya za awali na uboreshaji wa miundombinu ya shule.
#RaisSamiaametekeleza
Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi cha miaka mitano ilemela imepokea kiasi cha shilingi bilioni 8.11 kwa ajili ya utekelezaji shughuli za afya hali iliyopelekea uboreshaji wa utoaji wa huduma za afya

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili kiwanja cha ndege cha Mwanza kilichopo Wilaya ya Ilemela siku ya Jumapili tarehe 15 Juni 2025 akiwa njiani kuelekea Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya Kikazi mkoani humo. 📸 picha na ikulu Mawasiliano Samia Suluhu

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili kiwanja cha ndege cha Mwanza kilichopo Wilaya ya Ilemela  siku ya Jumapili tarehe 15 Juni 2025 akiwa njiani kuelekea Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya Kikazi mkoani humo.
📸  picha na ikulu Mawasiliano
<a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a>
Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Maandamano ya makundi mbalimbali ya watoto wa wilaya ya Ilemela wakielekea ukumbi wa manispaa ya Ilemela ikiwa ni maadhimisho ya siku mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa kila mwaka ya siku ya tarehe 16 Juni. Kauli mbiu inasema "HAKI ZA MTOTO;TULIPOTOKA,TULIPO NA TUENDAKO"

Maandamano ya makundi mbalimbali ya watoto wa wilaya ya Ilemela wakielekea ukumbi wa manispaa ya Ilemela ikiwa ni maadhimisho ya siku mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa kila mwaka ya siku ya tarehe 16 Juni.
Kauli mbiu inasema "HAKI ZA MTOTO;TULIPOTOKA,TULIPO NA TUENDAKO"
Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Kauli mbiu ya mwaka 2025: *“Haki za Mtoto: Tulipotoka, Tulipo na Tuendako”* Kauli mbiu hii inatuhimiza wote – wazazi, walezi, serikali na wadau – kuimarisha mifumo ya ulinzi wa mtoto, kupinga ukatili na kuhakikisha kila mtoto anapata fursa sawa bila ubaguzi wa aina yoyote.

Kauli mbiu ya mwaka 2025:
*“Haki za Mtoto: Tulipotoka, Tulipo na Tuendako”*
Kauli mbiu hii inatuhimiza wote – wazazi, walezi, serikali na wadau – kuimarisha mifumo ya ulinzi wa mtoto, kupinga ukatili na kuhakikisha kila mtoto anapata fursa sawa bila ubaguzi wa aina yoyote.
Ilemela Manispaa (@ilemelamc) 's Twitter Profile Photo

Timu ya madaktari bingwa wa Rais Samia imewasili Manispaa ya Ilemela leo tarehe 16 juni 2025, tayari kwa kuwahudumia wananchi wa Ilemela na maeneo jirani, timu hii itafanya kazi hadi Ijumaa ya tarehe 20 Juni 2025, Mkurugenzi Ummy Wayayu amewapokea na kuwahakikishia ushirikiano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo kitaifa kwa mwaka 2024/2025- 2028-2029 katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

Kampeni ya kitaifa ya utoaji wa matone ya Vitamin A na dawa kinga za minyoo ndani ya Manispaa ya Ilemela inaendelea kwa watoto wenye umri wa kuanzia miezi 6 hadi 59 katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya bila malipo yoyote, kampeni itahitimishwa tarehe 30 Juni 2025

Nukuu za Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati wa Mkutano wa Baraza la madiwani wa Ilemela wakipokea taarifa za mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali