Issack Kitururu (@ikitururu) 's Twitter Profile
Issack Kitururu

@ikitururu

#lettherebelight☀️, SBC Practitioner| Community Engagement| Social Researcher| Process Facilitator| jidi co-founder

ID: 3175001165

linkhttp://www.jidi.or.tz calendar_today17-04-2015 04:23:28

1,1K Tweet

394 Followers

523 Following

Dr Mmbaga (@zakayommbaga) 's Twitter Profile Photo

Hivi ile nguvu ya Hanang tuliitoa wapi kiasi kwamba tulikuwa na live updates za kila kinachoendelea na makundi kwa makundi ya wanaoenda kutoa msaada yakijitangaza ila issue ni tofauti kabisa kwa RUFIJI ambako the situation is more critical. Are we 2 different countries?

Issa Shivji (@issashivji) 's Twitter Profile Photo

Jinsi ya kugawanya sekta za uchumi ili kuchochea maendeleo: mawazo machache Mtazamo wa kuainisha sekta za uchumi kwa kugawanya sekta za jamii (elimu,afya n.k) na sekta za uzalishaji (kilimo, viwanda n.k) imepitwa na wakati. Sasa wataalam wa siasa-uchumi wanatambua kwamba zile

Issa Shivji (@issashivji) 's Twitter Profile Photo

Mwarobaini ni Madaraka Madaraka ni matamu Nafasi ya kulamba asali Na kulimbikiza mali Ni uwekezaji bila hasara Na wenye faida salama Nafasi ya kushusha neema za mbiguni Bila kusali miskitini au kanisani Ewe Mola nisamehe niko foleni Kuwinda madaraka Issa bin Mariam 02/04/2023

Issack Kitururu (@ikitururu) 's Twitter Profile Photo

“You can not make positive choices for the rest of your life without an environment that makes those choices easy, natural and enjoyable” ~ Deepak Chopra

Issack Kitururu (@ikitururu) 's Twitter Profile Photo

Ni wakati sahihi kwa watawala kukumbuka kuwa waaminio kwenye ‘haki’ kama ‘hisani’ (>50yrs) wapo <15% ya waTz (na si wote), na hawa wanaoweza kusimama na kudai chao ni >35%, waliobaki ni watoto Kumbuka, walianza kuidai HAKI mioyoni na sasa wanasimama KUHESABIWA. ITS ABOUT TIME🤞

Ni wakati sahihi kwa watawala kukumbuka kuwa waaminio kwenye ‘haki’ kama ‘hisani’ (&gt;50yrs) wapo &lt;15% ya waTz (na si wote), na hawa wanaoweza kusimama na kudai chao ni &gt;35%, waliobaki ni watoto 

Kumbuka, walianza kuidai HAKI mioyoni na sasa wanasimama KUHESABIWA. ITS ABOUT TIME🤞
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Asiyepiga magoti sasa anaambiwa anatafutwa kwa kutopiga magoti. Watu wangapi watekwe au kutishiwa kutekwa hadi tusimame kwa pamoja na kusema BAAASI!!

Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile Photo

Jumapili ya leo ninakuombea, Mungu akusaidie usiwe mtu wa kunyanyasa wengine. Kwa maana Mungu husikia kilio cha wanyonge, na huinuka kuwasaidia.

Issack Kitururu (@ikitururu) 's Twitter Profile Photo

UWAJIBIKAJI. Sio lazima kusubiri pdf - kama vipi pelekeni barua kuwa kazi ya kumsaidia imekuwa kubwa kwenu. Huu ndo uungwana na kuonesha kuwa yanayoendelea hamyakubali. Jitengeni na laana hii kwa ajili yenu na vizazi vyenu. #SimamaUhesabiwe

Issack Kitururu (@ikitururu) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 Wao: Mvumilivu hula mbivu. Wenyenchi: sasa tunataka kula mbivu, wakati umefika, tumevumulia vya kutosha. PIPO…zimeivaaaaa….ka’ gombania goli

Issack Kitururu (@ikitururu) 's Twitter Profile Photo

Grateful for God’s love, growth (learning, unlearning, relearning), and the opportunity to lead in building frameworks that connect purpose and impact. Wishing blessings, progress, and divine strategies for all.

Grateful for God’s love, growth (learning, unlearning, relearning), and the opportunity to lead in building frameworks that connect purpose and impact. Wishing blessings, progress, and divine strategies for all.
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Dr. Hamisi Kigwangalla kupanga ni kuchagua. Mmechagua nini? African nations can build more self-reliant systems if health was given priority over the expensive life styles of the political and administrative elite