Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile
Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ

@ibraah_joseh

26LIFEโ˜˜๏ธ
God above all๐Ÿ–ค| Pray with me๐Ÿ™๐Ÿฟ|Don't Play with me| โ€ขHip Hop Die hard Fanโ€ข
| Single | Yanga& Barรงa Fan|ยฐWeed stonerยฐ |
[email protected]

ID: 1572218132072218624

linkhttps://t.me/+h-IIXohN1IE5MjRk calendar_today20-09-2022 13:36:49

1,1K Tweet

284 Followers

1,1K Following

Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Kesho nafasi ya kuanza upya Kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa Kuivunja sheria nafasi ya kufata ruksa Kuikumbuka jana au kuanza kuifuata FUTURE FUTURE ni leo siku ambayo miti hukimbia Jua hushuka upendo wa marafiki HUFIFIA HUFIFIA wimbi la wanafiki huingia Dizasta Vina

Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Sikujua uongo, sikujua ufitini Nilifunzwa na hii dunia sikuwa mchoyo kwa idhini Dunia ilinipa ndugu wakanidhamini Kabla ya kunifundisha utu wakanirithisha dini #lastconfession #Aff Dizasta Vina

Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Mapenzi karaha nyie msije hata kusikia Nishaona wajanja wanaziacha Career Ninapoona wanafunzi nao wanataka โ€˜dandia Haki ya mama huwa nataka kulia Huwa nataka kulia #waridijeusi Dizasta Vina

Nigga hood the McโœŠ๐Ÿฟ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ (@lucasodero8) 's Twitter Profile Photo

#HipHopFamily Msiache harakati, Muendelee kupigana, Msije mka change code Ipo siku itafika. #RIP MKOLOSAE MAKANTA ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ

#HipHopFamily Msiache harakati,
  Muendelee kupigana,
Msije mka change code 
   Ipo siku itafika.
       #RIP MKOLOSAE MAKANTA ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Talk about story telling look at damn halo Sequel zako nyepesi you're not ready bado Your story extensions man are scary narrow Your plot twist your point of view all very shallow I'm a better artist than your whole label And I took story telling to the new level Dizasta Vina

Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Tumekomaa tuna tabia za miamba Tuna nia tuna haja mpaka kifo Tumemeza vito vya kiada na ziada Na ndomana tunaiweka mpaka likizo SIASA...

Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Kidumu CHAMA CHA MASELA Ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera, tuone kufuru za wenye hela TANZANIA ni demu wa mtungo wanamuiita CHA WOOTE HANGOVER .. anaikimbia kwa kupiga mtungi saa zote #Siriyamtungi

chizzo drama (@chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

Mauaji mengine ya kutisha ukiacha MAUAJI YA KIMBARI yaliyowahi kutokea hapa Africa ni haya ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚ Kama ni kamari hapa watu walinyimwa hata alifu ๐Ÿ˜‚

Mauaji mengine ya kutisha ukiacha MAUAJI YA KIMBARI  yaliyowahi kutokea hapa Africa ni haya ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚

Kama ni kamari hapa watu walinyimwa hata alifu ๐Ÿ˜‚
Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Kila kijiji kina hazina yake , sisi tuna bahati kuwa na mwanangu wa home mwenye kipaji kikubwa. Ngoma yake mpya ipo hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ youtu.be/usl-EjKkMP8?siโ€ฆ Tusupport pamoja mpaka ifike mbali โœŠ๐Ÿฟ

Kila kijiji kina hazina yake , sisi tuna bahati kuwa na mwanangu wa home mwenye kipaji kikubwa.
Ngoma yake mpya ipo hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ youtu.be/usl-EjKkMP8?siโ€ฆ
Tusupport pamoja mpaka ifike mbali โœŠ๐Ÿฟ
Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Miili ya dada zangu imegeuka Bakshishi Umaskini Unafanya Wanageuka Taasisi Hawamaanishi Ukisema haubishi Kuuza Chapati Ngumu , Halafu Kujiuza Ni Rahisi Dizasta Vina

Msukuma_Og๐Ÿ˜ฌ (@ibraah_joseh) 's Twitter Profile Photo

Ningekuwa na ma.. na-maganji kama Manji nahisi Ningeinunua jela Ili ndani niwa...niwaweke Mafisadi na Mafisi Niwachomoe masela Nimetupa haya chini nimetupa nadhifu Nimetupa mpaka dini Maana haisanifu Ukiona roho ya kwanini ujue ndio wasifu Maana penye umasikini panasuka Wahalifu