FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile
FELIX JASON

@iamfelixtz

||
Transfer Expert ||
Njombe Finest πŸ”₯ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

ID: 1499757458994216960

calendar_today04-03-2022 14:43:52

4,4K Tweet

26,26K Followers

275 Following

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates πŸ‘‡ ➑️ Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi 4 tangu alipofanyiwa upasuaji wa bega la kulia, Peter Banda (24) πŸ‡²πŸ‡Ό ameanza mazoezi mepesi ➑️ Kwa miaka mingi, Banda alikuwa akicheza na tatizo lake la bega hadi mwaka huu Nyassa Big Bullets walipoamua kusimamia matibabu yake

Updates πŸ‘‡

➑️ Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi 4 tangu alipofanyiwa upasuaji wa bega la kulia, Peter Banda (24) πŸ‡²πŸ‡Ό ameanza mazoezi mepesi

➑️ Kwa miaka mingi, Banda alikuwa akicheza na tatizo lake la bega hadi mwaka huu Nyassa Big Bullets walipoamua kusimamia matibabu yake
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates πŸ‘‡ ➑️ Kiungo wa Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Khalid Aucho na Striker wa Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Steven Mukwala ni sehemu ya wachezaji wanawania tuzo ya Fan's Ugandan Foreign - Based Player of the Year zitakazofanyika Kampala Serena Hotel May 30 βœ… Tuzo zipo chini ya Shirikisho la soka la Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ (FUFA)

Updates πŸ‘‡

➑️ Kiungo wa Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Khalid Aucho na Striker wa Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Steven Mukwala ni sehemu ya wachezaji wanawania tuzo ya Fan's Ugandan Foreign - Based Player of the Year zitakazofanyika Kampala Serena Hotel May 30

βœ… Tuzo zipo chini ya Shirikisho la soka la Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ (FUFA)
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

FULL TIME ⏰ Yanga Sc 2️⃣ βž– 3️⃣ Singida BS ⚽ Elvis Rupia ⚽️ Jonathan Sowah ⚽️ Arthur Bada ⚽️ Prince Dube ⚽️ Denis Nkane #FriendlyMatch 🏟️ KMC Complex

FULL TIME ⏰

Yanga Sc 2️⃣ βž– 3️⃣ Singida BS

⚽ Elvis Rupia
⚽️ Jonathan Sowah
⚽️ Arthur Bada 
⚽️ Prince Dube
⚽️ Denis Nkane

#FriendlyMatch 
🏟️ KMC Complex
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Kikosi cha RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ kimeshatua Zanzibar kwaajili ya mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ itakayochezwa Jumapili hii Mei 25 katika uwanja wa Amaan. #TotalEnergiesCAFCC

Kikosi cha RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ kimeshatua Zanzibar kwaajili ya mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji wao Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ itakayochezwa Jumapili hii Mei 25 katika uwanja wa Amaan.

#TotalEnergiesCAFCC
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ wamekataa gari zilizoletwa na Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwaajili ya kuwapokea Airport. βœ… Berkane wametafutiwa gari nyingine za kuwapokea. #TotalEnergiesCAFCC

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates πŸ‘‡ ➑️ Hadi kufika muda huu saa 6 usiku, Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ bado hawajatoka ndani ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. ➑️ Berkane walitua tangu saa 3 usiku.

Updates πŸ‘‡

➑️ Hadi kufika muda huu saa 6 usiku, Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ bado hawajatoka ndani ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.

➑️ Berkane walitua tangu saa 3 usiku.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kukaa ndani ya Abeid Aman Karume International Airport wakishughulikia taratibu za kuingia Zanzibar, hatimae Berkane wametoka na wameelekea Hotelini Jumapili watakuwa na kibarua cha kuikabili Simba Sc kwenye mechi ya Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates πŸ‘‡ Hivi ndivyo RS Berkane walivyowasili katika viwanja vya mazoezi vya Amaan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Fainali ya Kombe la shirikisho barani Afrika Jumapili hii dhidi ya Simba Sc #TotalEnergiesCAFCC

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

β€œKisaikolojia tulikuwa tunajua kuwa kwa Tanzania ukicheza kwa Mkapa unapoteza na tunafahamu hilo, lakini tumefurahi kwasababu hatuchezi kwa mkapa” πŸ—£οΈ Mamadou Camara πŸ‡¬πŸ‡³ - Kiungo wa Berkane πŸ‡²πŸ‡¦

β€œKisaikolojia tulikuwa tunajua  kuwa kwa Tanzania ukicheza  kwa Mkapa unapoteza  na tunafahamu hilo, lakini tumefurahi kwasababu hatuchezi kwa mkapa”

πŸ—£οΈ Mamadou Camara πŸ‡¬πŸ‡³ - Kiungo wa Berkane πŸ‡²πŸ‡¦
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Kucheza ugenini bila idadi kubwa ya mashabiki kwetu sio jambo geni, tumeshacheza mechi nyingi za aina hii Mambo yaliyotokea Airport wakati tunawasili sitaki kuyaongelea, tunatakiwa tuwe makini na mechi iiyopo mbele yetu. πŸ—£οΈ Mouin Chaabani πŸ‡ΉπŸ‡³ - Kocha RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦

"Kucheza ugenini bila idadi kubwa ya mashabiki kwetu sio jambo geni, tumeshacheza mechi nyingi za aina hii

Mambo yaliyotokea Airport wakati tunawasili sitaki kuyaongelea, tunatakiwa tuwe makini na mechi iiyopo mbele yetu.

πŸ—£οΈ Mouin Chaabani πŸ‡ΉπŸ‡³ - Kocha RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Berkane ni timu ya daraja la juu lakini bado hawajakutana na hasira ya Simba ikiwa kwenye ubora na uwezo wake kamili. " Mchezo wa kwanza tuliuchukulia kama somo, tumejiandaa na tupo tayari" πŸŽ™οΈ Fadlu Davids πŸ‡ΏπŸ‡¦ - Kocha wa Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

"Berkane ni timu ya daraja la juu lakini bado hawajakutana  na hasira ya Simba ikiwa kwenye ubora na uwezo wake kamili. " 

Mchezo wa kwanza tuliuchukulia kama somo, tumejiandaa na tupo tayari"

πŸŽ™οΈ Fadlu Davids πŸ‡ΏπŸ‡¦ - Kocha wa Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Kila mchezaji, mwanachama na shabiki wa Simba alitamani mechi hii ichezwe Benjamin Mkapa lakini hatuwezi kupinga kile kilichoamuliwa na mamlaka. Tulichopanga kukifanya Benjamin Mkapa, tutakifanya hapa Zanzibar. πŸŽ™οΈ Shomari Kapombe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - Mchezaji Simba.

"Kila mchezaji, mwanachama na shabiki wa Simba alitamani mechi  hii ichezwe Benjamin Mkapa lakini hatuwezi kupinga kile kilichoamuliwa na mamlaka.

Tulichopanga kukifanya  Benjamin Mkapa, tutakifanya hapa Zanzibar.

πŸŽ™οΈ Shomari Kapombe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - Mchezaji Simba.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Mwaka jana tulipoteza kombe dhidi ya Zamalek, ni mchezo ambao ulitupa uzoefu mkubwa na hatutakuwa tayari kupoteza fainali ya pili mfululizo" πŸŽ™οΈ MoΓ―ne ChaΓ’bani πŸ‡ΉπŸ‡³ - Kocha RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦

"Mwaka jana tulipoteza kombe dhidi ya Zamalek, ni mchezo ambao ulitupa uzoefu mkubwa na hatutakuwa tayari kupoteza fainali ya pili mfululizo"

πŸŽ™οΈ MoΓ―ne ChaΓ’bani πŸ‡ΉπŸ‡³ - Kocha RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Mnyama Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ akipasha misuli kabla ya kuwakabili RS Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ siku ya kesho kwenye Fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

FULL TIME ⏰ 1st Leg Mamelodi πŸ‡ΏπŸ‡¦ 1️⃣ βž– 1️⃣ Pyramids Fc πŸ‡ͺπŸ‡¬ ⚽ 54' Lucas Ribeiro ⚽️ 90+4' El Karti (πŸ…°οΈ Lasheen) βœ… Pyramids tayari wamepata faida ya goli la ugenini. #TotalEnergiesCAFCL

FULL TIME ⏰ 1st Leg 

Mamelodi πŸ‡ΏπŸ‡¦ 1️⃣ βž– 1️⃣ Pyramids Fc πŸ‡ͺπŸ‡¬

⚽ 54' Lucas Ribeiro
⚽️ 90+4' El Karti (πŸ…°οΈ Lasheen)

βœ… Pyramids tayari wamepata faida ya goli la ugenini.

#TotalEnergiesCAFCL
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

OFFICIAL: Wydad AC πŸ‡²πŸ‡¦ imetangaza kukamilisha usajili wa wachezaji watatu hii leo. βœ… Nordin Amrabat βœ… Hamza Hanouri βœ… Aziz Ki Aziz KI amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027.

OFFICIAL: Wydad AC πŸ‡²πŸ‡¦ imetangaza kukamilisha usajili wa wachezaji watatu hii leo.

βœ… Nordin Amrabat
βœ… Hamza Hanouri
βœ… Aziz Ki

Aziz KI amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027.
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Moyo wangu ni mzito kuwapa taarifa ya kuhusu kuondoka kwangu kwenye klabu ya moyo wangu, Yanga ni zaidi ya klabu. Yanga imenitengeneza na kunijenga, Yanga imenipa sehemu yangu ya pili ya nyumbani na imenipa mke mzuri" πŸŽ™οΈ Aziz KI πŸ‡§πŸ‡«

"Moyo wangu ni mzito kuwapa taarifa ya  kuhusu kuondoka kwangu  kwenye klabu ya  moyo wangu, Yanga ni zaidi ya klabu.

Yanga imenitengeneza  na kunijenga,  Yanga imenipa sehemu yangu ya pili ya nyumbani na imenipa mke mzuri"

πŸŽ™οΈ Aziz KI πŸ‡§πŸ‡«
FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates πŸ‘‡ ➑️ CAF wamezindua muonekano mpya wa Kombe la Shirikisho barani Afrika πŸ”₯ Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ or Berkane πŸ‡²πŸ‡¦ Nani atabeba?

Updates πŸ‘‡

➑️ CAF wamezindua muonekano mpya wa Kombe la Shirikisho barani Afrika πŸ”₯

Simba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ or Berkane πŸ‡²πŸ‡¦

Nani atabeba?