Mtu anapotea, Jeshi la Polisi linakanusha kuhusika kupotea kwake. Ajabu ni kwamba, matukio haya ni mengi mno, na kila tukio polisi hawahusiki. Ajabu zaidi, Polisi hawatoi ripoti ya uchunguzi ya mtu aliyepotea, wala haihaingaiki kutafuta watu wanaotumia jina lao kuwachafua.
IKIRO C'INDAGARA KIGEZE KURI 150.000BIF!! HABUZE IKI UBU BUHINGA BUKORESHWA MUMATORA YO MU BURUNDI NGO BUNAKORESHWE NO KUROBA MUKIYAGA CA TANGANIKA NGO IBIREMWA VY'AMAFI BIRIYO NGO TUBIRONKE BIZIMBUTSE!!!!!???
HAIKUWA HIVI TANGU ZAMANI🚨
Kanisani ni sehemu ya ibada, sehemu ya amani ambayo watu wakipatwa na matatizo wanakimbilia hapo ili kupata relief ya matatizo yao. Sasa leo hii watu wanapigwa virungu, wanapigwa mabomu ya machozi kanisani, wanazuiwa kuingia kanisani kwao!?
📌HAKI
Tajiri Elon Musk amebadili kitufe cha like ili kutoa taarifa juu ya Mkutano mkuu wa Kampuni ya Apple unaoanza leo. Bonyeza like kwenye tweet hii uone rangi ilivyobadilika. #WWDC25
Elon Musk amebadili kitufe cha Like ili kusheherekea siku ya baba duniani weekend hii. Bonyeza kitufe cha like kwenye Tweet hii uone jinsi ndevu za purple zinavyotokea. #FathersDay2025
Le Qatar participe à la cérémonie de signature de l’Accord de paix entre la République du Rwanda et la République démocratique du Congo à Washington
#MOFAQatar