GIFT WILLIAMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@giftwilliam_) 's Twitter Profile
GIFT WILLIAMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@giftwilliam_

Son of Africa | Proud TanzanianπŸ‡ΉπŸ‡Ώ | Educationist. #BeatitudoEstOmnia.

ID: 1263939785086898179

calendar_today22-05-2020 21:08:39

4,4K Tweet

12,12K Followers

10,10K Following

Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

πŸ›οΈ Demokrasia, Utawala Bora na Haki β€’ Sheria mpya za uchaguzi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi zimeanzishwa (2024). β€’ Zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa limeondolewa. β€’ Serikali imetoa TSh bilioni 87.81 kwa vyama vya siasa kama ruzuku. β€’ TSh bilioni 211.95

πŸ›οΈ Demokrasia, Utawala Bora na Haki

β€’ Sheria mpya za uchaguzi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi zimeanzishwa (2024).
β€’ Zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa limeondolewa.
β€’ Serikali imetoa TSh bilioni 87.81 kwa vyama vya siasa kama ruzuku.
β€’ TSh bilioni 211.95
Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Arusha β–ͺ️JUNE 28, 2025 – SURA MPYA YA SAFARI YA UONGOZI Leo, Paul Christian Makonda, ameandika ukurasa mpya katika historia ya siasa nchini kwa kuchukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM. Safari yake ya uongozi ni ushahidi wa kujituma na kuamini

πŸ“Arusha

β–ͺ️JUNE 28, 2025 – SURA MPYA YA SAFARI YA UONGOZI 

Leo, Paul Christian Makonda, ameandika ukurasa mpya katika historia ya siasa nchini kwa kuchukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.

Safari yake ya uongozi ni ushahidi wa kujituma na kuamini
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya ndugu zetu 37 na majeruhi 30 kutokana na ajali ya barabarani iliyotokea jana jioni eneo la Sabasaba, Barabara Kuu ya Moshi - Tanga, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, kwa magari mawili kugongana na kuungua moto. Ninawaombea

Visit Tanzania (@visittanzania1) 's Twitter Profile Photo

🌍 Tanzania Reigns Supreme in World Travel Awards in 2025! πŸ†βœˆοΈ πŸŽ–οΈ Awards & Accolades 1. Serengeti NP - Africa's Leading Big Five National Park 2. Serengeti NP - Africa's Leading National Park (7Γ— in row since 2018) 3. Nyerere NP - Africa's Leading Scenic National Park 4.

🌍 Tanzania Reigns Supreme in World Travel Awards in 2025! πŸ†βœˆοΈ
πŸŽ–οΈ Awards & Accolades
1. Serengeti NP - Africa's Leading Big Five National Park 
2. Serengeti NP - Africa's Leading National Park (7Γ— in row since 2018)
3. Nyerere NP - Africa's Leading Scenic National Park 
4.
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko (@mbonimpaye_n) 's Twitter Profile Photo

π“π€π€π‘πˆπ…π€ πŠπ–π€ π”πŒπŒπ€ 𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀 π’π”πŒππ€π–π€ππ†π€ 𝐍𝐀 π–π€π“π€ππ™π€ππˆπ€β€’ Nawataarifu Kesho tarehe 30 June 2025 majira ya saa mbili kamili Asubuhi nitakwenda kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama Cha Mapinduzi ya kuwa Mbunge wa jimbo la Sumbawanga Mjiniβ€’

π“π€π€π‘πˆπ…π€ πŠπ–π€ π”πŒπŒπ€ 𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀 π’π”πŒππ€π–π€ππ†π€ 𝐍𝐀 π–π€π“π€ππ™π€ππˆπ€β€’
Nawataarifu Kesho tarehe 30 June 2025 majira ya saa mbili kamili Asubuhi nitakwenda kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa kwa Chama Cha Mapinduzi ya kuwa Mbunge wa jimbo la Sumbawanga Mjiniβ€’
Charles Onyango-Obbo (@cobbo3) 's Twitter Profile Photo

Tanzania’s just-inaugurated 4.66Km Magufuli Bridge, is Africa's longest extra-dosed cable-stayed bridge. With a four-lane dual carriageway designed for speeds up to 120KPH, it cuts the travel time across Lake Victoria from 2 HOURS to 5 MINUTES! news.cgtn.com/news/2025-06-2…

Tanzania’s just-inaugurated 4.66Km Magufuli Bridge, is Africa's longest extra-dosed cable-stayed bridge. With a four-lane dual carriageway designed for speeds up to 120KPH, it cuts the travel  time across Lake Victoria from 2 HOURS to 5 MINUTES!
news.cgtn.com/news/2025-06-2…
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko (@mbonimpaye_n) 's Twitter Profile Photo

π“π€π€π‘πˆπ…π€ π˜π€ πŠπ”π‚π‡π”πŠπ”π€ π…πŽπŒπ” π˜π€ 𝐔𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 π‰πˆπŒππŽ 𝐋𝐀 π’π”πŒππ€π–π€ππ†π€ πŒπ‰πˆππˆ π‹π„πŽ 𝐓𝐀𝐑𝐄𝐇𝐄 πŸ‘πŸŽ 𝐉𝐔𝐍𝐄 πŸπŸŽπŸπŸ“β€’ Leo tumeandika historia nyingine kwa kufanya maamuzi magumu na yenye tija kwa ndugu, Wanasumbawanga pamoja na Watanzaniaβ€’

π“π€π€π‘πˆπ…π€ π˜π€ πŠπ”π‚π‡π”πŠπ”π€ π…πŽπŒπ” π˜π€ 𝐔𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 π‰πˆπŒππŽ 𝐋𝐀 π’π”πŒππ€π–π€ππ†π€ πŒπ‰πˆππˆ π‹π„πŽ 𝐓𝐀𝐑𝐄𝐇𝐄 πŸ‘πŸŽ 𝐉𝐔𝐍𝐄 πŸπŸŽπŸπŸ“β€’ 
Leo tumeandika historia nyingine kwa kufanya maamuzi magumu na yenye tija kwa ndugu, Wanasumbawanga pamoja na Watanzaniaβ€’
Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Baada ya uwaziri mkuu kwa mwanasiasa mwenye ambitions za Siasa, ni Ofisi moja tu imebaki kwake.. PM atakuwa kasoma kitabu cha Lowassa ambacho hatujaandikiwa bado, plot in silence… nice move

GIFT WILLIAMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@giftwilliam_) 's Twitter Profile Photo

Waziri mkuu ni mfano halisi wa β€œA good dancer knows when to leave the stage”, ametumia busara kupumzika ubunge baada ya kututumikia kama waziri mkuu.

Waziri mkuu ni mfano halisi wa β€œA good dancer knows when to leave the stage”, ametumia busara kupumzika ubunge baada ya kututumikia kama waziri mkuu.
TunasongaMbele (@kazinautu) 's Twitter Profile Photo

Nishati ya Umeme muhimu katika ulimwengu wa sasa. Kwa kulitambua hili, serikali ya awamu ya sita imedhamiria kufikisha umeme kwa wananchi kwa asilimia 100. 2025 - 2027 vitongoji 16,500 vimefikiwa na huduma ya REA na vitongoji 7,500 kazi inaendelea. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia

Nishati ya Umeme muhimu katika ulimwengu wa sasa. Kwa kulitambua hili, serikali ya awamu ya sita imedhamiria kufikisha umeme kwa wananchi kwa asilimia 100. 2025 - 2027 vitongoji 16,500 vimefikiwa na huduma ya REA na vitongoji 7,500 kazi inaendelea. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia
Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Bima kwa wageni wanaoingia nchini. Tukiwa na idadi ya wageni 5,000,000 kwa mwaka tunaweza kupata mapato ya bima yanayozidi TZS bilioni 500 kWa mwaka.

Bima kwa wageni wanaoingia nchini. 

Tukiwa na idadi ya wageni 5,000,000 kwa mwaka tunaweza kupata mapato ya bima yanayozidi TZS bilioni 500 kWa mwaka.
GIFT WILLIAMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@giftwilliam_) 's Twitter Profile Photo

Ili ufikie malengo yako na uwe salama mahali fulani basi unatakiwa usiishi katika uhalisia wako Kuna wakati au mahali utatakiwa ufiche furaha yako, ufiche huzuni yako, ufiche mafanikio yako, ufiche downfall yako, ufiche uwezo wako halisi na zaidi ufiche hisia zako. #GoodMorning

Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

Mhubiri wa #SkillingTanzania leo NIMEWIWA kuwakumbusha hili. Wengi wetu tunapuuzia β€˜personal and professional development’ ambazo tunaweza pata kupitia programs mbali mbali tena ambazo zinatolewa bure!! Kwa wale wenye miaka 18-35 - THIS IS YOUR TIME Apply for that scholarship!

GIFT WILLIAMπŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@giftwilliam_) 's Twitter Profile Photo

Binafsi nadhani badala ya wapinzani kulalamikia namna watu maarufu walivyojitokeza kuchukua form za kuomba ridhaa ya kugombea CCM basi wao wanapaswa kusimamisha wagombea wanaoona ni sahihi ili kila chama kishinde mechi zake.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8. Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8.

Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi
Thomas J. Kibwana (@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, anahudhuria sherehe za kumbukizi ya miaka 50 ya uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Komoro kama mgeni rasmi. Historia ya Uhusiano kati ya Tanzania na Komoro: Uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya

Leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, anahudhuria sherehe za kumbukizi ya miaka 50 ya uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Komoro kama mgeni rasmi.

Historia ya Uhusiano kati ya Tanzania na Komoro:

Uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya