Veterinary Doctor (@geofreyjosiah3) 's Twitter Profile
Veterinary Doctor

@geofreyjosiah3

Vet Doctor, Chosen Agromarketing Manager, Redio&Tv presenter, Books writter
[email protected]

ID: 1041952951718359040

calendar_today18-09-2018 07:31:57

3,3K Tweet

512 Followers

246 Following

Veterinary Doctor (@geofreyjosiah3) 's Twitter Profile Photo

Juzi nilikuta transfomer la umeme linatoa cheche usiku nikapiga tanesco Emergency.... Then nikajisikia vizuri kutimiza wajibu wangu

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ee Mungu,nipe nguvu,maarifa na uvumilivu wa kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu. Nibariki kazi ya mikono yangu. Fungua milango ya fursa njema,riziki halali na mafanikio ya kweli. Ondoa uzito,hasara na taabu katika juhudi zangu,riziki yangu iwe baraka kwangu na kwa wengine🙏🏼

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kupunguza gharama za watu kuoana, mnakutana familia, mnapanga shughuli moja ya harusi. Achaneni na mambo ya Sendoff na Kitchen party. Financially inafaa kila upande.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Ukishakuwa na kodi halafu unaona watu wanaikwepa kaa chini tafakari(inawaumiza), me ningewashauri mngepunguza VAT kwanza ikawa kama Zanzbar 15% tukaanzia hapo.

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Tembea tembea uone mademu wazuri na uone watu wenye hela,kuna wakati hautembei ndio maana unahisi huyo demu anaekuumiza kichwa ndio kila kitu au maisha uliyonayo ndio umemaliza.

M.D (🅨) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Ila Abiria wangu bwana! Yaani nisipopost na nyie mnasahau kama nauza ☺️. Haya hyo hapo TCL 43" Smart TV nikupelekee wapi kwa 510,000 tu. Call/Whatsapp 0716006808

Ila Abiria wangu bwana! Yaani nisipopost na nyie mnasahau kama nauza ☺️.

Haya hyo hapo TCL 43" Smart TV nikupelekee wapi kwa 510,000 tu.

Call/Whatsapp 0716006808
Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

"Biashara zenye kudai zina faida kubwa ni mtego na udanganyifu ni nyimbo zinazoimbwa ili kumvuta mtu asiye makini" "Faida ndogo kwenye usalama ni bora kuliko faida kubwa lakini penye hatari ya kupoteza mali zako." "Maisha ni matamu na yana vitu vingi vya kufurahia"

"Biashara zenye kudai zina faida kubwa ni mtego na udanganyifu ni nyimbo zinazoimbwa ili kumvuta mtu asiye makini"

"Faida ndogo kwenye usalama ni bora kuliko faida kubwa lakini penye hatari ya kupoteza mali zako."

"Maisha ni matamu na yana vitu vingi vya kufurahia"
Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Maarifa ni kama nuru ndani ya mtu akipata anaona kuna kitu kama giza limeondoka. Elimu ni muhimu sana na haitakiwi mtu ahitimu.

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

7Best Quotes 1. “The major reason for setting a goal is what it makes of you to accomplish it.” “Happiness is not something you postpone for the future; it is something you design for the present.”

7Best Quotes 

1. “The major reason for setting a goal is what it makes of you to accomplish it.”

“Happiness is not something you postpone for the future; it is something you design for the present.”
Veterinary Doctor (@geofreyjosiah3) 's Twitter Profile Photo

Unabaki na positive challenges only Finishing ya nyumba Mishahara ya wafanyakazi Hela ya kujenga vyumba 3 vya wapangaji kwenye kaplot ulikonunua