جبريل (@gabitarimo) 's Twitter Profile
جبريل

@gabitarimo

#mizukaexpedition

Team cruiser

Young African

ID: 1111036987316846594

calendar_today27-03-2019 22:47:14

144,144K Tweet

1,1K Followers

402 Following

emi (@girlscaloneta) 's Twitter Profile Photo

so fucking weird that israel gets to participate in the world cup while palestine can’t even if they had qualified because half if not all their squad has been decimated including coaches and referees. all martyred. shame on fifa

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na kwamba ukumbi wa Mahakama unaingiza watu 60, lakini tumekuta watu tusiowafahamu wamejaza sehemu kubwa ya ukumbi. Watu wanaelezwa nafasi zimejaa, wakae nje. Kumbuka, mawakili pekee ni nusu ya ukumbi, wageni, mabalozi, viongozi, nafasi zimekwisha. Mahakama ijisimamie.

The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

TAKUKURU yabaini Bilioni 30 kutoka kwenye biashara ya kaboni kutumika kinyume na malengo: ‘Watu wamekopeshana’ Akiongea katika kikao cha tathmini ya biashara ya hewa ya ukaa, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Crispin Chalimila, ameeleza kuwa sehemu kubwa ya fedha zilizopatikana

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Tutacheza dhidi ya Bandari F.C kutoka Kenya, kwenye Kilele Cha Wiki Ya Mwananchi 2025🔰 #TunapigaKichwaniTu🔨 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tutacheza dhidi ya Bandari F.C kutoka Kenya, kwenye Kilele Cha Wiki Ya Mwananchi 2025🔰 #TunapigaKichwaniTu🔨 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hii msg nilitumiwa saa 6 mchana bahati mbaya ndo naiona saizi Nyie Police Force TZ kwahiyo maboss zenu ndo wamewambia muwe mnakuja Mahakamani kufanya huu upuuzi..?? 🚮 🚮 🚮

Hii msg nilitumiwa saa 6 mchana bahati mbaya ndo naiona saizi 

Nyie <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> kwahiyo maboss zenu ndo wamewambia muwe mnakuja Mahakamani kufanya huu upuuzi..?? 🚮 🚮 🚮
Suppressed News. (@suppressednws) 's Twitter Profile Photo

⚡️BREAKING: For the second night in a row, Israeli drones struck boats from the Sumud Freedom Flotilla in Tunisia. The vessel Alma carrying nine people was hit today with no casualties or major damage, shortly after the “Family Boat” was also targeted yesterday.

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

DPP wilaya ya muleba na mpelelezi wilaya, huyo diwani maeshirikiana nae kumfanyia hujuma mzee wa watu acheni mara moja. Mmebomoa nyumba yake, mmevunja makaburi ya ukoo, acheni dhurma. Nitawarudia.

DPP wilaya ya muleba na mpelelezi wilaya,
huyo diwani maeshirikiana nae kumfanyia hujuma mzee wa watu acheni mara moja.

Mmebomoa nyumba yake, mmevunja makaburi ya ukoo, acheni dhurma.

Nitawarudia.
Elijah J. Magnier 🇪🇺 (@ejmalrai) 's Twitter Profile Photo

A former Israeli intelligence officer holding a Russian passport delivered to the US embassy in Iraq because her sister is American. Nice.

A former Israeli intelligence officer holding a Russian passport delivered to the US embassy in Iraq because her sister is American. Nice.
Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 6 Bank ya Stanbic na Absa niliwaambia hapa msifute footage, mana mnazo, Sasa imethibitishwa alietekwa ni Al Haj Mushi, kwasabu tu alipiga picha magari ya mtoto wa Mama Samia na Angela Kiziga. Hii week itakuwa ni wiki ya Abdul, Mama yake na Kiziga, Mtakubali dully.

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

Dully mnateka kila mtu dully, Mama yake Al Haj hawezi wasiliana wala kumuona mwanae kwa sasa, lakini Mama yako akikuhitaji anakutumia ndege Dubai unatua ikulu. Bado hauridhiki dully, Nitanyooka na wewe dully, we ni mtoto mdogo sana.

Dully mnateka kila mtu dully,

Mama yake Al Haj hawezi wasiliana wala kumuona mwanae kwa sasa, lakini Mama yako akikuhitaji anakutumia ndege Dubai unatua ikulu.

Bado hauridhiki dully, Nitanyooka na wewe dully, we ni mtoto mdogo sana.
Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

waTZ mnatakiwa kuelewa ongezeko la jeshi lingine tanzania nalo ni JLAT (Jeshi la Abdul Tanzania) Hili ndio jeshi unatakiwa kuliogopa sana kwa sasa, Askari wake wengi wametoka jela kutumikia hukumu za vifo na miaka kuanzia 30 Hawana cha kupoteza Ikulu inafahamu.

waTZ mnatakiwa kuelewa ongezeko la jeshi lingine tanzania nalo ni JLAT (Jeshi la Abdul Tanzania)

Hili ndio jeshi unatakiwa kuliogopa sana kwa sasa,

Askari wake wengi wametoka jela kutumikia hukumu za vifo na miaka kuanzia 30

Hawana cha kupoteza
Ikulu inafahamu.