MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile
MARLEY

@funjojr

THE GIANT LOOKS IN THE MIRROR AND SEES NOTHING

DONDA

ID: 1146783022282358785

calendar_today04-07-2019 14:09:13

270,270K Tweet

316,316K Followers

2,2K Following

Trust The Process (@daveconscious) 's Twitter Profile Photo

Naaamm.....Kwenye Playlist yangu ya Gym ile Ngoma yao ya Neno Huwa Inakita Kila Siku Masikioni, Walinyoosha Sana n Ukisikiliza fresh unaona kabisa Jamaa ni Wana na Haikuwa tu collabo ya Kawaida !!

Maviatu ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›’ (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

#Mtumba CONTACTS: Wa.me/255718007463 WhatsApp๐Ÿ“ž Signal, Telegram ๐Ÿ“ง,Callsโ˜Ž๏ธ, TxTโœ‰๏ธ #tunafanyadelivery ๐Ÿ›ต๐Ÿ“ฆ #mikoanitunatuma ๐Ÿš›๐Ÿ“ฆ Madenge MIRIAM๐Ÿ’œ Willy

#Mtumba 

CONTACTS: Wa.me/255718007463 WhatsApp๐Ÿ“ž Signal, Telegram ๐Ÿ“ง,Callsโ˜Ž๏ธ, TxTโœ‰๏ธ

#tunafanyadelivery ๐Ÿ›ต๐Ÿ“ฆ #mikoanitunatuma ๐Ÿš›๐Ÿ“ฆ

<a href="/rollymsouth/">Madenge</a> <a href="/MiriamMkanaka/">MIRIAM๐Ÿ’œ</a> <a href="/Wilbright_jr/">Willy</a>
Maviatu ๐Ÿ‘ž๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿฅพ๐Ÿ›๏ธ๐Ÿ›’ (@barakamaviatu) 's Twitter Profile Photo

HP EliteBook 845 G7 AMD Ryzen 5 PRO 4650U ๐Ÿ’ฝ๐—ฅ๐—ฎ๐—บ: 16GB 3200 MHz ๐Ÿ’พ๐—ฆ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ: 256 GB NVMe AMD Radeon Graphics - 512 MB ๐Ÿ–ฅ๐——๐—ถ๐˜€๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜†: 14 Inch FHD Display (1920x1080) ๐Ÿ”‹: 56WHr ๐ŸŽ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ๐—ฟ & ๐ŸŽ’๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—•๐—ฎ๐—ด Tsh.850,000 Location:๐Ÿ“Œ Mawasiliano

HP EliteBook 845 G7

AMD Ryzen 5 PRO 4650U

๐Ÿ’ฝ๐—ฅ๐—ฎ๐—บ: 16GB 3200 MHz

๐Ÿ’พ๐—ฆ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ: 256 GB NVMe

AMD Radeon Graphics - 512 MB

๐Ÿ–ฅ๐——๐—ถ๐˜€๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐˜†: 14 Inch FHD Display (1920x1080)

๐Ÿ”‹: 56WHr 

๐ŸŽ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ๐—ฟ  &amp; ๐ŸŽ’๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—•๐—ฎ๐—ด

Tsh.850,000

Location:๐Ÿ“Œ Mawasiliano
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Singida Ujenzi wa barabara ya Mandewa 69 km kazi inaendelea na imefikia asilimia 88 na kwa sasa kazi ya ujenzi wa vivuko vya magari na watembea kwa miguu na mradi huo unatarajiwa kukamilika hivi karibuni. #OktobaTunatikiSamia

๐Ÿ“Singida 

Ujenzi wa barabara ya Mandewa 69 km kazi inaendelea na imefikia asilimia 88 na kwa sasa kazi ya ujenzi wa vivuko vya magari na watembea kwa miguu na mradi huo unatarajiwa kukamilika hivi karibuni. 

#OktobaTunatikiSamia
MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Kutunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Agosti, 2025.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya kutunukiwa Nishani ya CISM kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 14 Agosti, 2025.

Matukio mbali mbali ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Nishani ya Heshima ya Juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (The Grand Cordon) na Makamu wa Rais wa CISM Kanda ya Afrika Meja Jenerali..