Freedom (@freedom_255) 's Twitter Profile
Freedom

@freedom_255

Freedom⭐

ID: 1081189000503836672

linkhttp://community.com calendar_today04-01-2019 14:02:00

901 Tweet

203 Followers

917 Following

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Wanavyosema kuwa Mange anakesi ya Uhujumu uchumi? Unaweza kudhani kama amehujumu uchumi wa nchi au ameibia nchi! Eti amepata 138m kwa kufanya kazi ya uwanahabari katı ya 01/03/2022 na 31/03/2022 bila kuwa na ithibati ya Bodi, Bodi imeanza kazi 03/03/2025, Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸

Wanavyosema kuwa Mange anakesi ya Uhujumu uchumi? Unaweza kudhani kama amehujumu uchumi wa nchi au ameibia nchi!

Eti amepata 138m kwa kufanya kazi ya uwanahabari katı ya 01/03/2022 na 31/03/2022 bila kuwa na ithibati ya Bodi, Bodi imeanza kazi 03/03/2025, <a href="/mangekimambi/">Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸</a>
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kumbe META (Facebook, instagram &Whatsapo) walipokea VITISHO kutoka TCRA kwamba wasipofungia account Tatu za wanaharakati nchini watafungia mtandao huo kufanya kazi TANZANIA. Sijajua kama nipo kwenye hiyo list ila niseme tu kwa upande wangu kama muhanga wa kufungia accounts

Kumbe META (Facebook, instagram &amp;Whatsapo) walipokea VITISHO kutoka TCRA kwamba wasipofungia account Tatu za wanaharakati nchini watafungia mtandao huo kufanya kazi TANZANIA.

Sijajua kama nipo kwenye hiyo list ila niseme tu kwa upande wangu kama muhanga wa kufungia accounts
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

MNANIKUMBUSHA ILE MEME AMBAYO MTU ANAENDESHA BAISKELI, ANACHUKUA MTI NA KUINGIZA KWENYE SPOKE MWENYEWE, KISHA ANAANZA KULALAMIKA BAADA YA KUANGUKA. Tuulizane maswali machache⬇️ Kulikuwa kuna ulazima gani wa Rais kusimama public na kusema UTEKAJI NI DRAMA? Rais anatoaje kauli

MNANIKUMBUSHA ILE MEME AMBAYO MTU ANAENDESHA BAISKELI, ANACHUKUA MTI NA KUINGIZA KWENYE SPOKE MWENYEWE, KISHA ANAANZA KULALAMIKA BAADA YA KUANGUKA. 

Tuulizane maswali machache⬇️

Kulikuwa kuna ulazima gani wa Rais kusimama public na kusema UTEKAJI NI DRAMA? 

Rais anatoaje kauli
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA... Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye kunyanyasa watu kwasababu tuu ni Mkuu wa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yetu, rafiki yetu Fortunatus Buyobe alikamatwa na Askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jana jioni mpaka muda huu haijulikani amepelekwa wapi. Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake. Disemba 9 lazima tutoke kwa wingi ili tukomeshe huu ushenzi.

Ndugu yetu, rafiki yetu <a href="/fbuyobe/">Fortunatus Buyobe</a> alikamatwa na Askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jana jioni mpaka muda huu haijulikani amepelekwa wapi.

Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake.

Disemba 9 lazima tutoke kwa wingi ili tukomeshe huu ushenzi.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kwasasa kazi kubwa inayofanywa na jeshi la polisi, ni kuwatafuta kuwakamata na kuwashikilia viongozi na wanachama wetu Nchi nzima. Kuna wengine wanashikiliwa tangu mwezi wa 10 kwenye vituo vya polisi, wengine wakiwa wameteswa vibaya .. Ninawatia moyo viongozi na wanachama wetu

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Free Fortunatus Buyobe. Free Tundu Lissu. Free Deus Soka. Free Jacob Mlay. Free Dioniz Kipanya. Free Mdude Nyagali. Free Frank Mbise. Free Amani Manengelo. Free Daniel Chonchorio. Free Shadrack Chaula. Free Humphrey Polepole. Free all political prisoners & detainees.

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Sio kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kama walivyoandika kwenye press yao. Huku wanaita kabisa Tume ya Rais! Mtu na Tume yake, alafu mnategemea kuna uhuru wa Tume hapa?

Sio kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kama walivyoandika kwenye press yao.

Huku wanaita kabisa Tume ya Rais! Mtu na Tume yake, alafu mnategemea kuna uhuru wa Tume hapa?
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Bado hamuoni aibu kuendelea kumshikilia kwa kesi ya uongo. You cannot sue or imprison the truth. Mnahangaika bure, mwachieni bila masharti yoyote kwa sababu hana hatia. Mnaua na kutesa watu, halafu mnatafuta kichaka cha kujificha. These schemes will eventually fail you big time.

Bado hamuoni aibu kuendelea kumshikilia kwa kesi ya uongo.
You cannot sue or imprison the truth.
Mnahangaika bure, mwachieni bila masharti yoyote kwa sababu hana hatia.
Mnaua na kutesa watu, halafu mnatafuta kichaka cha kujificha.
These schemes will eventually fail you big time.
LYENDA (@iamlyenda) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Mataifa (UN) umefanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti Lissu ni ya 'Mchongo' na wametaka ifutwe. Mwenyekiti wa Ccm na chama chake wanatakiwa kuifuta kesi hii la sivyo wataiingiza Tanzania kwenye mgogoro na Umoja wa Mataifa.

Umoja wa Mataifa (UN) umefanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti Lissu ni ya 'Mchongo' na wametaka ifutwe. 
Mwenyekiti wa Ccm na chama chake wanatakiwa kuifuta kesi hii la sivyo wataiingiza Tanzania kwenye mgogoro na Umoja wa Mataifa.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wetu amesema mwenyewe kwa maandishi yake na sisi tunajua… Alishambuliwa kwa risasi nyingi mwaka 2017. Tangu wakati huo alikua anakwenda kufanya checkups na matibabu mara kwa mara. Leo ni mwaka mzima yuko gerezani Ukonga kwa kesi ya uongo, hqjakutana na wataalamu

Mwenyekiti wetu amesema mwenyewe kwa maandishi yake na sisi tunajua…

Alishambuliwa kwa risasi nyingi mwaka 2017.

Tangu wakati huo alikua anakwenda kufanya checkups na matibabu mara kwa mara.

Leo ni mwaka mzima yuko gerezani Ukonga kwa kesi ya uongo, hqjakutana na wataalamu
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Fr Dkt Charles Hugo Kitima, God bless you, man. This level of integrity is rare; and you present a great example of a spiritual leader!🫡

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa,