Play Boi🇹🇿 (@flaizy_tz) 's Twitter Profile
Play Boi🇹🇿

@flaizy_tz

Until it’s done, tell none.

ID: 1574474876097892353

calendar_today26-09-2022 19:04:10

59,59K Tweet

4,4K Followers

2,2K Following

Big_Nicky✊️ (@big_nicky01) 's Twitter Profile Photo

Mkishamaliza kufanya umalaya ndo mnasema "God is everything " mara "Dont forget to pray" blaah blaaah blaaah haya sawa wanawake wa yesu👊

fezoo (@fezoomaster) 's Twitter Profile Photo

Hamna mashabiki wana roho nyepesi kama mashabiki wa simba ukigusa tu mada zako kama hajaku unfollow utakublock wanaonaga timu yao ni keki sijui 😂😂

CERTIFIED HATER PhD ✨ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

Kuna jamaa mmoja tulisoma naye anaitwa kibaigwa ndio alikuwa mpinzani wangu darasani kipindi hicho miaka ya 90. Jamaa alichukuliwa na kampuni ya Tesla motors na ndio managing director mpaka leo.🙌

Shababi a true leader (@blazadadee1) 's Twitter Profile Photo

Jana nimempumzisha baba yangu mzazi, sikulia ila feeling niliyoipata nilipopokea taarifa ya msiba Alhamisi siwezi kuielezea. May his soul #RIP 🕯

ProsperNow. (@prossoff) 's Twitter Profile Photo

1. Bonge lazima anye kabla au baada ya kula. 2. Bonge akimuona bonge zaidi yake anafurahi sana na kuona afadhali yake. 3. Bonge anajamba jamba sana. 4. Bonge lazima awe mrafi. 5. Bonge bila hela hato mmh bi. Mwanaume kuwa bonge haipendezi hata kidogo.

Presenter Noah (@presenternoah) 's Twitter Profile Photo

Kubeba makombe ndio kunatafsiri timu ni bora? au timu inaweza kua bora hata bila kubeba kombe lolote? Tuitumie Arsenal ndani ya hii misimu mitatu, anaingia kwenye kundi la timu bora au hakuna kitu?!!

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mtu aliyeenda Iringa iwe kimasomo au kikazi akasema sitamani tena kurudi Iringa. Yan ukishafika Pale hautamani kuondoka Na huu ndo ukweli 😀