Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile
Farhan Kihamu Jr

@fkihamu

VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA | Signed under Clouds Media Group | Fa Inna Ma’al Usri Yusra Inna Ma’al Usri Yusra |

ID: 4401120681

linkhttps://instagram.com/jr_farhanjr?igshid=YmMyMTA2M2Y= calendar_today07-12-2015 04:36:39

17,17K Tweet

526,526K Followers

1,1K Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

CAF wanadai kuwa walishirikiana katika kila hatua na TFF pamoja na Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo katika kuhakikisha Uwanja unakuwa tayari kwa ajili ya fainali, ila ripoti ya Kampuni huru ya Kimataifa ambayo inakagua viwanja vyote kwa mujibu wa sheria ni kuwa

Refa Dehane Beida ndie aliyekuwa kati mechi ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga kule Afrika Kusini, ndie pia alikuwa kati Yanga dhidi ya USMA kule Algiers nchini Algeria na leo amesimama kati kwenye mechi ya Simba dhidi ya Berkane fainali ya Shirikisho.

Kwa taarifa za awali ni kuwa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lipo kufanya uchunguzi juu ya matukio mbalimbali kabla ya fainali mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ambapo kuna uwezekano mkubwa Simba ikakumbwa na rungu la Shirikisho hilo kutokana na

Mwanangu Mkaburu Bonta nimepita kumsabahi Kijiweni kwake, Tabata Dampo Gereji ofcourse ndio Mitaa ambayo niliishi pia, nimeondoka hapa 2018, ndio ilikuwa Maskani yangu tangu 2015 kila nikija Dar kwa Anko wangu Walu, moja kati ya Wana ambao tulibond sana ni Mkaburu nafikiri

FEISAL SALUM ni kweli anahitajika na timu kadhaa ikiwemo Simba, Kaizer Chiefs na Young Africans, Mchezaji huyo ili ununue mkataba wake wa mwaka mmoja uliosalia unapaswa kulipa dola 500,000 kwa Azam FC ambayo haina tabu kufanya biashara ikiwa ni sawa na Billion 1.3 za Kitanzania.

SIMBA kwa kumaliza Mshindi wa pili wa Kombe la Shirikisho watapokea kiasi cha dola 1,000,000 za Kimarekani sawa na BILLION 2.6 za Kitanzania. YANGA nafasi ya tatu kwenye Makundi ya Klabu bingwa barani Afrika watapokea kiasi cha dola 700,000 za Kimarekani sawa na BILLION 1.8

SIMBA kwa kumaliza Mshindi wa pili wa Kombe la Shirikisho watapokea kiasi cha dola 1,000,000 za Kimarekani  sawa na BILLION 2.6 za Kitanzania. 

YANGA  nafasi ya tatu kwenye Makundi ya Klabu bingwa barani Afrika watapokea kiasi cha dola 700,000 za Kimarekani sawa na BILLION 1.8
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za awali kwa mujibu wa vyanzo zinaripoti kuwa Ndugu George Mayawa, Mjumbe wa Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi maarufu kama Kamati ya Masaa 72 ameandika barua ya kujiuzulu na kukaa pembeni kwasababu ambazo bado hazijawekwa wazi.

“Asitokee Kiongozi yoyote akaipeleka timu uwanjani kucheza derby ya Kariakoo Juni 15 dhidi ya Simba, maana Kiongozi huyo ataondoka yeye na milango ipo wazi ya kutokea Kwa Kiongozi yoyote atakayefanya hivyo” - Msimamo wa Wazee wa Yanga kuhusu Derby ya Kariakoo.

“Asitokee Kiongozi yoyote akaipeleka timu uwanjani kucheza derby ya Kariakoo Juni 15 dhidi ya Simba, maana Kiongozi huyo ataondoka yeye na milango ipo wazi ya kutokea Kwa Kiongozi yoyote atakayefanya hivyo”

- Msimamo wa Wazee wa Yanga kuhusu Derby ya Kariakoo.
Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Interview hii nilifanya Mei 9, 2024 niliongelea PSG na malengo yao ya UEFA kisha Bilionea Mohammed Dewji MO na uwekezaji ndani ya Simba, project hulipa ukiwa na right people. Mei 9, 2024 clip ina mwaka na miezi sasa.