Fatma_karume (@fatmakarume1) 's Twitter Profile
Fatma_karume

@fatmakarume1

ID: 1202544232545824768

linkhttp://Jamiiyatanzania.wordpress.com calendar_today05-12-2019 11:04:43

60 Tweet

101 Followers

6 Following

Issa Shivji (@issashivji) 's Twitter Profile Photo

Enyi WatuWema Mnijibu kwa dhati. Kwa nini Tusisherehekee Uhuru Kwa maua, michezo na marashi? Kwa nini Tusisherehekee Uhuru Kwa mikongamano, mikutano na mihadhara? Kwa nini Tunasherehekea Uhuru Kwa gwaride, vifaru na ndege za kivita Kwa mabomu ya machozi na mabunduki ya kutisha?

Fatma_karume (@fatmakarume1) 's Twitter Profile Photo

Inchi huru inaweka watu katika freedom moja Tufikili kidogo tumekuwa na sherehe kila dec 9 Na kwanini tunaonyesha siraha za kivita ni kuonyesha jinsi gani tunalinda na kutunza uhuru wetu #Tanzania

Inchi huru inaweka watu katika freedom moja 
Tufikili kidogo tumekuwa na sherehe kila dec 9 
Na kwanini tunaonyesha siraha za kivita ni kuonyesha jinsi gani tunalinda na kutunza uhuru wetu #Tanzania