Elite bookstore
@elitebookstore
The best bookstore in Tanzania, providing books in all genres, stationeries, games and toys.
Call: +255 658780015 for the fastest response and delivery.
ID: 2369246806
http://www.elitestore.co.tz 27-02-2014 16:01:33
414 Tweet
729 Followers
90 Following
Karibu ukutane na Richard Mabala na Samti and . . . . katika maduka yetu wikiendi hii na ujipatie punguzo kubwa la vitabu vyao
Tukutane Nkrumah Jumamosi hii. Njoo umshuhudie msemaji mkuu wa Jamhuri ya Stanza HE Mmassy Jr (II)
Just had a wonderful couple of days booksigning in Elite bookstore shops in Palm Village and Mbezi beach. instagram.com/p/C9-AEuWNNA_/ #meetsamti
Ilikuwa siku njema tulipoungana na mheshimiwa Jakaya Kikwete Jakaya Kikwete katika maadhimisho ya miak 10 ya Jumuiya ya Watetezi wa Kiswahili WAKITA Katika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
gery teacher Moyo wa TAIFA ™️ Kama ni Dar, nenda elite bookshop ya Mbezi Makonde, Chuo Kikuu au Palm Village. Makao Makuu Mbezi Makonde kona ya barabara kwenda Goba Elite bookstore
2025 reading plan @tusomebookclub. #January2025 Learners Bookshop Elite bookstore Lee Books African Books Collective
Unaweza kuishi na majeraha ya hisia bila kujua. Unafanya nini kuyagundua na kuyashughulikia? Kitabu hiki nilichokipata Elite bookstore Dodoma kina mengi. Kinaweza kukufaa ukitaka kuelewa tatizo la afya ya akili —kwa maelezo ya kitaalam na simulizi halisi. #PsychologyOfTrauma
web.facebook.com/majid.mswahili… Hongera sana APE network. Hatuhitaji Amazon. Tunayo ya kwetu Elite bookstore
Jipatie kitabu kizuri cha “Jinsi ya Kurudi Nyumbani” kilichoandikwa na Mtumishi Esther Karin Mngodo kwenye maduka ya Elite bookstore ufurahie mashairi yanayofikirisha na kuburudisha.
Sarafu ya Gavana: Anapatikana maduka yote ya vitabu ya Elite bookstore . Piga: 0767 861 151 kumpata DSM na mikoani.
Ilivyokuwa jana; leo nitakuwepo. Check: Elite bookstore na @Apenetwork.
MKWE WA JAJI MKUU inahusu nini? Leo siku ya mwisho kukuona pale viwanja vya Sabasaba, banda la STONE TOWN. Piga: 0624 379 602 Cheki: Elite bookstore na APE Network