Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile
Rev. Dr. Eliona Kimaro

@elionakimaro

Senior Pastor at Kijitonyama Lutheran Parish | Author | Philanthropist | Gen 1:3 - “Let there be Light”

ID: 1656207468295335936

calendar_today10-05-2023 08:00:47

547 Tweet

8,8K Followers

35 Following

Rev. Dr. Eliona Kimaro (@elionakimaro) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wameshindwa kutimiza ndoto zao kwa sababu wanataka kuanzia juu. Kwenye sheria ya asili kila kitu huwa kinaanzia chini, ni kaburi tu huwa linaanzia juu. Ninakuombea Neema ya Mungu leo, akupe kuamini katika asili yake ya kuongezeka, nawe ukaanze kutimiza ndoto zako