Dunia ya sasa inakuhitaji uwe na ujuzi mwingi out na hiyo Elimu uliyopata darasani, tuwe wabunifu na tujiongeze degree au diploma zetu hazitoshi
Kataa u jobless jifunze hizi skills 10 zitakusaidia
π Website design
π App development
π Photo editing
Kwa wale junior developers ambao mnafanya mobile app development kwa Flutter. Msiishie kwenye kujua flutter pekee, fanyeni na backend zake either kwa NodeJs au Laravel. Soma APIs elewa jinsi gani unaweza interact nazo katika app yako. Soko ni gumu sana ukiwa nusu nusu. π
Semaa pesa zipo online
Pesa zipo online
Jifunze Web Development
Jifunze App Development
Kumbuka mambo magumu wanajua wachache
Jitume kaza buti
Usisahau kumuomba mungu pia