Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile
Edwin F.M

@edwinmjeru

MSCA Research Fellow || EM Alumni 🇹🇿🇫🇷 || Author || Business Storytelling Coach - S-T-O-R-I-F-Y FRAMEWORK

ID: 1302872617230139392

linkhttp://www.edwinfm.com calendar_today07-09-2020 07:33:49

4,4K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

Siyo dhambi kutambua kuwa kuna watu wanakuzidi katika eneo lako, iwe; - Biashara - Kazi - Elimu, au - Kipaji. Zaidi, jifunze kutoka kwao, tafuta connection kutoka kwao na kutengeneza network. Kuna watu nafasi yao kwako ni Mentors na siyo Competetitors.

Jay McHale (@mchale_in_flow) 's Twitter Profile Photo

The 3-Hour Rule is the No. 1 productivity technique. It will reset your entire dopamine system, focus, and attention span while eliminating stress and overthinking. It literally allows you to access flow on command. Here's what it is, why it works, & how to master it: 🧵

The 3-Hour Rule is the No. 1 productivity technique.

It will reset your entire dopamine system, focus, and attention span while eliminating stress and overthinking.

It literally allows you to access flow on command.

Here's what it is, why it works, & how to master it: 🧵
Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

Ishawi kukutokea unawapelekea watu idea alafu wakaikataa, kisha baada mda unagundua kuwa wanaitumia au wanaifanyia kazi hiyo idea? Ulifanyaje?

Oziko (@ozikojo) 's Twitter Profile Photo

Edwin F.M Km Wewe ndio Mbeba Maono hata Usiwe na wasiwasi Huenda Kinachotukwamisha wengi ni Mtaji(Fedha/kupata Msaada) >Km ni Ndoto Ujue ww ndio Unaona/kufahamu Unachokiota ko hata km Watafanya/kuanza kwa Pupa kuna stage watafika watakwama Ni Biashara ngapi zimefeli/Kufa kwa Sababu io?👀

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

Kuna kitu kinaitwa, "Strategic Positioning". Ni mhimu sana kui-Master iwe kwenye kazi, biashara au harakati yoyote. Jiweke kimkakati. Be visible. Be heard. Be noticeable. By your work and character.