Kila mwanaume anahitaji mwnmke/Mke msikivu, mpole na mwenye hofu ya MUNGU nyie mnaotaka uhuru wa kwenda uchi, si kama hatuwahitaji apana, bali tunawahitaji kama vyombo vya starehe tu, na tukimaliza tunarudi nyumabani ili tupate utulivu 📌
Painful story.
"Dah Bro kwema Hide my ID as always
Kuna Tukio limetokea kitaa hapa almost 2 weeks Kuna demu alikua anadate na men wawili mmoja ni broke and thug man almost kama 24yrs alafu Kuna men mwingine ambaye ni wakishua 25yrs flani ambaye alikuwa anampa Demu Kila kitu
Ukiona mtoto wako anapenda Sana kuwasifia marafiki zake kuwa wanajua kitu fulani, mzingue, sio dalili nzuri hiyo. Usilee kipaji Cha uchawa nyumbani kwako.
Wenye malengo ya kununua viwanja dsm huu ndo muda wa kutembelea maeneo pendwa kwako kwa maana utaona uhalisia wa maji na ujio wake msije kisema hamku ambiwa😀
JE, WAJUA?
SWEDEN na DENMARK zikikutana katika michezo kwenye score board huwa zinaandikwa herufi 3 za mwanzo kwa kila timu.
Yaani SWE vs DEN: Maajabu ni kwamba ukiziunganisha unapata SWEDEN.
Lakini pia herufi zinazobakia ni DEN na MARK ambazo nazo ukiziunganisha unapata DENMARK
Bros mlioa na ambao mtaoa hata kama siyo sasa ila,
“ Ukitoka kazini usiku,kile chakula ulicho wekewa mezani na mkeo hakikisha unakula na watoto wako hata kama ukikuta wamelala waamshe mle wote. ”
Hasa mkiwa na ugomvi ugomvi usioisha nyumbani na mkeo,
Ahsante.🤝🏼
Dada wa kazi haijawahi kuwa Idea nzuri kwangu.
Kuna familia tunaweza kusema zinamuhitaji sawa lakini sipendi vile wanakua treated.
Dada wa kazi huwa hapewi treatment nzuri hata kidogo. Unakuta mtoto wa boss anavaa vizuri anasuka na mambo mengi mazuri.
Lakini, hii iko tofauti
Umefika mwisho, asante kwa kusoma.
Nina imani nimeongeza kitu kwenye elimu yako, ikikupendeza:
Nifollow @arthurgeil
Like kisha weka retweet uzi ufike mbali na wengine wajifunze.
Natanguliza shukrani.