Uniconqured Conqueror (@digidigimpoli) 's Twitter Profile
Uniconqured Conqueror

@digidigimpoli

Naipenda Nchi Yangu TANZANIA

ID: 923119469324619776

calendar_today25-10-2017 09:30:07

1,1K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo Iringa mmethibitisha kwa mara nyingine kuwa ninyi ni ngome ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hamasa, imani yenu na kujitoa kwenu kwa ajili ya chama chetu ni msingi wa ushindi wetu na Taifa letu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

Leo nikiwa njiani kutoka Iringa kuelekea Dodoma nilisimama kuwasalimu na kuzungumza na wananchi wa Mlowa, Jimbo la Mvumi, mkoani Dodoma, waliojitokeza kwa wingi kusikiliza sera na mipango ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu yao kwa miaka mitano ijayo. Ninawashukuru kwa salamu,

Leo nikiwa njiani kutoka Iringa kuelekea Dodoma nilisimama kuwasalimu na kuzungumza na wananchi wa Mlowa, Jimbo la Mvumi, mkoani Dodoma, waliojitokeza kwa wingi kusikiliza sera na mipango ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu yao kwa miaka mitano ijayo. 

Ninawashukuru kwa salamu,
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Kishindo cha DP World Bandari ya Dar es Salaam kwa mwezi Agosti 2025. Yavunja rekodi ambayo haijawahi kutokea. Dondoo; 1. Imehudumia makontena 34,184 (ongezeko 59%) 2. Imepokea magari 21,237 (ongezeko 39%) 3. Imehudumia mzigo kichele (Dry Bulk) tani 446,608 (ongezeko 26%) 4.

Kishindo cha DP World Bandari ya Dar es Salaam kwa mwezi Agosti 2025. Yavunja rekodi ambayo haijawahi kutokea.

Dondoo;
1. Imehudumia makontena 34,184 (ongezeko 59%)
2. Imepokea magari 21,237 (ongezeko 39%)
3. Imehudumia mzigo kichele (Dry Bulk) tani 446,608 (ongezeko 26%)
4.
Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

Mombo, Tanga – Zaidi ya wakulima 270 wamebadilisha maisha yao kupitia Skimu ya Umwagiliaji Mombo, inayozalisha mchele wenye thamani ya bilioni 7.8 kila mwaka. Kwa msaada wa TADB, wamepata mashine za kisasa, trekta na pembejeo zilizopunguza gharama, kuongeza tija na kutengeneza

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo jioni nikizungumza na wananchi wa Singida katika Uwanja wa Bombadia. Zaidi ya shilingi trilioni 1.7 zimetumika kwenye shughuli za kijamii na kimaendeleo mkoani hapa katika kipindi cha miaka minne ikiwa ni pamoja na ujenzi wa hospitali 4, vituo vya afya 20 na zahanati 63.

Ninawapongeza Klabu ya Simba na Wanasimba kwa tamasha zuri la Simba Day 2025. Ninawatakia kila la kheri katika msimu ujao kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa.

Hongera sana Alphonce Simbu kwa Medali ya Dhahabu ya ushindi wa Mbio Ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo. Ndani ya saa 2:09:48 umeandika sehemu ya historia ya Taifa letu. Kama nilivyokusihi uliposhika nafasi ya pili kwenye Boston Marathon mwezi Aprili mwaka huu,

Hongera sana Alphonce Simbu kwa Medali ya Dhahabu ya ushindi wa Mbio Ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo. Ndani ya saa 2:09:48 umeandika sehemu ya historia ya Taifa letu. 

Kama nilivyokusihi uliposhika nafasi ya pili kwenye Boston Marathon mwezi Aprili mwaka huu,
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Repost from Samia Suluhu • Hongera sana Alphonce Simbu kwa Medali ya Dhahabu ya ushindi wa Mbio Ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo. Ndani ya saa 2:09:48 umeandika sehemu ya historia ya Taifa letu. Kama nilivyokusihi uliposhika nafasi ya pili kwenye Boston

Repost from <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> 
•
Hongera sana Alphonce Simbu kwa Medali ya Dhahabu ya ushindi wa Mbio Ndefu za Mashindano ya Kimataifa ya Riadha ya Tokyo. Ndani ya saa 2:09:48 umeandika sehemu ya historia ya Taifa letu. 

Kama nilivyokusihi uliposhika nafasi ya pili kwenye Boston
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi kufika tena Songea na kuzungumza na wananchi. Katika kipindi cha miaka minne iliyopita, tumewekeza shilingi trilioni 1.18 kwenye sekta mbalimbali katika Mkoa wa Ruvuma. Tunaona matokeo ya uwekezaji huu mkubwa kwenye maisha ya wananchi hasa katika ujenzi wa vituo vya

Ninawashukuru sana Namtumbo na Tunduru kwa mapokezi mazuri, ukarimu na kutusikiliza. Ahsanteni kwa kutupa uhakika wa kura kwa wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ifikapo Oktoba 29, 2025. Kama mlivyonieleza, mnaungana na mamilioni ya Watanzania kutoka maeneo mbalimbali ya

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Tumeanza kampeni zetu Mkoa wa Mtwara ambapo nimezungumza na wananchi wa Nanyumbu na Masasi. Kubwa na la faraja kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa hapa Mtwara na hakika kote tulipopita ni kuwa, wananchi kupitia wawakilishi wao, ndiyo wanaoeleza makubwa yaliyofanywa na Serikali yao

Nimefika tena Babati, Mkoa wa Manyara ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya Kampeni za Kiti cha Rais za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mkoa huu. Ahsanteni sana wananchi wa Manyara. Nimefurahi sana kusikia na kuona jinsi wananchi wanavyoendelea kunufaika na matokeo ya kazi na

Nimefika tena Babati, Mkoa wa Manyara ikiwa ni siku ya pili na ya mwisho ya Kampeni za Kiti cha Rais za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mkoa huu. Ahsanteni sana wananchi wa Manyara.

Nimefurahi sana kusikia na kuona jinsi wananchi wanavyoendelea kunufaika na matokeo ya kazi na
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana Bunda na Musoma kwa ukarimu, upendo na kujitokeza kwenu kwa wingi leo, nilipoanza mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Mara. Ninawapenda sana. Mwenyezi Mungu awabariki sana.

Ahsanteni sana Bunda na Musoma kwa ukarimu, upendo na kujitokeza kwenu kwa wingi leo, nilipoanza mikutano ya kampeni katika Mkoa wa Mara.

Ninawapenda sana. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimefurahi kufika tena Chato alasiri ya leo. Nimekuwa na mkutano mzuri na wananchi juu ya kazi tulizofanya kwa maendeleo ya Taifa letu, kazi ambazo tumepanga kufanya, pamoja na matarajio yao baada ya kukipa tena ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwatumikia ifikapo

Nimefurahi kufika tena Chato alasiri ya leo. Nimekuwa na mkutano mzuri na wananchi juu ya kazi tulizofanya kwa maendeleo ya Taifa letu, kazi ambazo tumepanga kufanya, pamoja na matarajio yao baada ya kukipa tena ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwatumikia ifikapo
Nchi yangu kwanza (@nchiyangut) 's Twitter Profile Photo

Safari Kutoka Uhuru wa Kisiasa Hadi Uhuru wa Kiuchumi Tanzania ilianza safari yake ya kujikomboa mwaka 1961 chini ya uongozi wa Mwalimu Julius K. Nyerere. Uhuru wa kisiasa ulipatikana kwa mafanikio — bendera ikapandishwa, mipaka ikaimarika, na taifa likajitawala kisheria. Lakini

SISI NI TANZANIA (@sisinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Happy Nyerere Day, Watanzania! 🇹🇿 Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — mtu aliyeweka msingi wa umoja, utu na maendeleo kwa taifa letu. Fikra zake bado zinatupa dira ya kujenga Tanzania yenye haki, usawa na heshima kwa kila mmoja. Ni siku ya

Happy Nyerere Day, Watanzania! 🇹🇿
Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — mtu aliyeweka msingi wa umoja, utu na maendeleo kwa taifa letu. Fikra zake bado zinatupa dira ya kujenga Tanzania yenye haki, usawa na heshima kwa kila mmoja.
Ni siku ya