SQÜID MAN 🇹🇿 (@cornel_evance) 's Twitter Profile
SQÜID MAN 🇹🇿

@cornel_evance

#Mvuvi:
SEA NEVER DRY! @YoungAfricansSc ||

ID: 1558337721755750400

calendar_today13-08-2022 06:20:57

82,82K Tweet

10,10K Followers

8,8K Following

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia umri wa miaka 25 hadi 35+, mwanaume hupambana na vita vyake vigumu zaidi sio na dunia, bali na nafsi yake mwenyewe. Huu ndio umri ambapo kuna daraja gumu sana kulivuka linahusisha mambo mengi sana. Tusikate tamaa na tuwe makini sana vijana wenzangu

Yanga SC TV (@yangasctv) 's Twitter Profile Photo

Karibu kwenye kipindi chetu kipya cha #TransferTalk ndani ya Yanga TV. Mwananchi hapa utapata mastory yote ya Usajili kwa undani zaidi. Follow us Yanga SC TV #TransferTalk #YangaTV

maila (@maila_kasorii) 's Twitter Profile Photo

Kuna baadhi ya watu walitukataa wakiamini tumekua mizigo kwenye maisha yao,tusiwachukie bali tuzidi kuwaombea ili waje waone mafanikio yetu na jinsi Mungu alivyoshusha baraka kwenye maisha yetu.🥂🙏