Shekulavu ๐Ÿšฃโ€โ™‚๏ธ (@_aboumvuvi) 's Twitter Profile
Shekulavu ๐Ÿšฃโ€โ™‚๏ธ

@_aboumvuvi

Efforts go unnoticed until you win....

ID: 1460704054384943112

linkhttps://instagram.com/abou_mvuvi?igshid=NTA5ZTk1NTc= calendar_today16-11-2021 20:20:08

100,100K Tweet

6,6K Followers

4,4K Following

asmer de unique (@unique_asmer) 's Twitter Profile Photo

Hivi inakuaga ni nini!? โ€ฆ. Unaleta mdada wa kazi siku moja anakwambia anataka kurudi nyumbani Nyieโ€ฆ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume anampenda mwanamke kwa siku 90 tu baada ya hapo ana hamia kwenye matendo ya mwanamke wake. Ndo ataamua aendelee nae au aanze kutafuta mbadala. Pastor Emmanuel Mgogo.

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31. Nitatoa Zawadi ya 1m. watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5. Unachotakiwa kufanya niambie hio TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani? Comment au Quote

#TajiriLaKihaya 

Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.

Nitatoa Zawadi ya 1m. 
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.

Unachotakiwa kufanya niambie hio 
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?

Comment au Quote
GrayHat Mwenda (@harunmbaabu) 's Twitter Profile Photo

Can you commit 90 minutes at 5:00 AM, two days a week for one month, to learn analytics, MS Excel, SQL, databases, Power BI, and Python?

Djkid_b (@blessdgroovekid) 's Twitter Profile Photo

KIKEKE: Wewe ni mharakati au msiasa? CLEMANCE: Mimi ni mzalendo IMANI: Ukimaanisha nini? CLEMANCE: Mzalendo ni mtu anaesimama na haki akitazama jinsi gani watu wanateseka na mifumo mibovu ya utawala na kupambania ili mifumo ibadlike na watu wanufaike katika ardhi waliyozaliwa

Trica Online Store (@triciaabou) 's Twitter Profile Photo

Ile Video ya Abdu Kiba kuwa kaagiza Chips alafu yupo na Manzi kwenye gari ikaja bill ya 8000 akawa hana pesa nkajua uongo ๐Ÿ˜‚ Daah kumbe kweli jamaa hakua na pesa ya kulipa, noma kweliii

BRUNO FERNANDES COUSIN (@queenmancunian) 's Twitter Profile Photo

Donโ€™t say anything just retweet to annoy them ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Donโ€™t say anything just retweet to annoy them

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚