CLEMENCE (@clemencekitoti) 's Twitter Profile
CLEMENCE

@clemencekitoti

Fata yako

ID: 1140680037567533056

calendar_today17-06-2019 17:58:08

47,47K Tweet

9,9K Followers

6,6K Following

Fabrizio Romano (@fabrizioromano) 's Twitter Profile Photo

🔴⚫️🏆 First Bundesliga title in 120 years for Bayer Leverkusen. Xabi: “This is a very special moment for the club. Winning the Bundesliga for the first time in 120 years is something very special. The players are top. I am very proud of everyone”.

🔴⚫️🏆 First Bundesliga title in 120 years for Bayer Leverkusen.

Xabi: “This is a very special moment for the club. Winning the Bundesliga for the first time in 120 years is something very special. The players are top. I am very proud of everyone”.
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Kati ya vipaumbele vilivyotajwa na Mhe. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan katika kukuza uchumi wa taifa ni pamoja na kuhakikisha kuna hali na mazingira rafiki kwa wawekezaji. #DiraYaSamia

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya Kuwatunuku Nishani Viongozi mbalimbali wakati wa shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #DiraYaSamia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya Kuwatunuku Nishani Viongozi mbalimbali wakati wa shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#DiraYaSamia
Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

Kuna watu hiyo sentensi ya mwisho ilionekana kuwaumiza sana On another note nimeambiwa tatizo lingine la kutokukubalika kwa ‘feminism’ ni jina lenyewe kuwa na ‘femme’..Wanaume hawapendi 😞

Ibrahim M Bashe (@basheibra) 's Twitter Profile Photo

Manifest quietly, you’ve never heard a tree grow. True growth whispers its presence, unseen yet profound. 👊🏾 Good Morning.

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Taarifa: Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo. Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia Tanzania dola milioni

CLEMENCE (@clemencekitoti) 's Twitter Profile Photo

Kama mpina akidai mambo ya jimbo lake ivi basi ingekua hatari sana, jimbo lingekua new york, maana huko sheria zipo wazi na still ni practicle.

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU HISTORIA YA MKOA WA RUKWA JITIHADA ZA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KUUENDELEZA MKOA HUO Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 kwa kumega sehemu ya Mkoa wa Tabora. Kiuchumi, wakazi wa Mkoa wa Rukwa wanajishughulisha na, Kilimo cha mazao ya chakula na biashara,

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UFUNGUZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO RUKWA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 16,2024 amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa wakati wa Ziara ya

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UFUNGUZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO RUKWA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 16,2024 amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa wakati wa Ziara ya
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

“Tunajenga miundombinu ya kumwagilia, ili wakulima muweze kulima mara mbili kwa mwaka” Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Katika Ziara yake Mkoani Rukwa. Samia Suluhu ikulu_Tanzania #DiraYaSamia

Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Katika ziara ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Rukwa, moja ya majukumu ilikua ni kuzindua vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) katika eneo Kanondo, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Ikumbukwe kuwa Shughuli kuu ya

Katika ziara ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Rukwa, moja ya majukumu ilikua ni kuzindua vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) katika eneo Kanondo, Sumbawanga Mkoani Rukwa.

Ikumbukwe kuwa Shughuli kuu ya
Dira Ya Samia (@dirayasamia) 's Twitter Profile Photo

Tazama video hii kufahamu jitihada zilizowekwa na kutekelezwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Rukwa. Jitihada hizi zimejikita kwenye Sekta ya afya, elimu ya ngazi ya chini na juu, miundombinu na miundombinu ya kilimo na kuhufadhi chakula. Samia Suluhu

CLEMENCE (@clemencekitoti) 's Twitter Profile Photo

Hii maabara inaenda kuwa game changer kwenye kilimo, tunaweza sasa kufanya tafiti za mbegu, mbolea na vitu vingine wenyewe 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾big surprise siku ya #NaneNane2024 #DiraYaSamia Wizara ya Kilimo

Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

#NaneNane2024 Kama sehemu ya mpango kabambe wa #Agenda1030 leo Serikali imekabidhiwa vifaa na zana zilizokabidhiwa zikiwemo Trekta 500, Power tillers 800 pamoja na Vifaa vya maandalizi ya shamba 200. Mpango wa #Agenda1030 wenye dhima ya “Kilimo ni Biashara," unalenga

#NaneNane2024 

Kama sehemu ya mpango kabambe wa #Agenda1030 leo Serikali imekabidhiwa vifaa na zana zilizokabidhiwa zikiwemo Trekta 500, Power tillers 800 pamoja na Vifaa vya maandalizi ya shamba 200.

Mpango wa #Agenda1030 wenye dhima ya “Kilimo ni Biashara," unalenga
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

📍 Kahama 🗓️ 15.09.2024 Ushetu, Asanteni SANA. Ilikua ni siku njema na niwashukuru kwa dhati kwa mapokezi makubwa. Ushetu inafanya vizuri kwenye uzalishaji wa Tumbaku na Serikali imetenga shilingi bilioni 2 kuanza kujenga mabani kwa wakulima na makampuni watachangia kila