MDUDU (@chrisoversize09) 's Twitter Profile
MDUDU

@chrisoversize09

ONLY ME..!!

ID: 1816200285057925120

calendar_today24-07-2024 19:54:55

266 Tweet

37 Followers

576 Following

𝐣𝐚𝐦𝐚π₯ ΒΉΒ² (@zubeirjamal) 's Twitter Profile Photo

Referee wetu ni changamoto sana, πŸ‘‰Jana Clement Mzize amenyimwa goal halali kabisa, wala halina kipengele chochote kile. πŸ‘‰Goal kali sana, lakini waka amua kuwa ni offside

Referee wetu ni changamoto sana,

πŸ‘‰Jana Clement Mzize amenyimwa goal halali kabisa, wala halina kipengele chochote kile.

πŸ‘‰Goal kali sana, lakini waka amua kuwa ni offside
𝐣𝐚𝐦𝐚π₯ ΒΉΒ² (@zubeirjamal) 's Twitter Profile Photo

Mwana Lunyasi 🦁🦁, jitahidi kukata ticket ukaisapoti timu yako kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al masry πŸ‘‰Timu ina hitaji sapoti ya mashabiki, usi vunjike moyo kwa matokeo ya jana πŸ‘‰Simba Sports ina nafasi ya kufanya makubwa na kufuzu hatua ya nusu fainal,tuji tokeze 🦁🦁

Mwana Lunyasi 🦁🦁, jitahidi kukata ticket ukaisapoti timu yako kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al masry

πŸ‘‰Timu ina hitaji sapoti ya mashabiki, usi vunjike moyo kwa matokeo ya jana

πŸ‘‰Simba Sports ina nafasi ya kufanya makubwa na kufuzu hatua ya nusu fainal,tuji tokeze

🦁🦁
MDUDU (@chrisoversize09) 's Twitter Profile Photo

MNAOKULA CHIPS ZA KUMENYEWA NYUMAAAAAA SHAURII YENUU!!! kibaha_finest ni repostie waonee kakaaaa nimekutana na mazitoooo hukuu mjinii! πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

MNAOKULA CHIPS ZA KUMENYEWA NYUMAAAAAA SHAURII YENUU!!! 
<a href="/kibaha_finest/">kibaha_finest</a>  ni repostie waonee kakaaaa nimekutana na mazitoooo hukuu mjinii! πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”