Robbie Chome
@chomerobbie
Radio Presenter/News Reporter/Sports Analyst/Loving Dad.
ID: 4922934569
http://www.robbiechome.co.ke 17-02-2016 07:52:49
490 Tweet
169 Followers
297 Following
Matsangoni imechemka! Kararacha FC imefuzu fainali baada ya kuitengua klabu ya Roma 7-6 kupitia mikwaju ya penalti,kufuatia sare ya 1-1 katika muda wa kawaida, mechi iliyosakatwa katika uwanja wa shule ya upili ya Katana Ngala. Gideon M. Mung'aro, OGW
Leo ni zamu ya Adu Ward, Waziri mwenyewe atakuwa ndani kutazama fainali hizi moja kwa moja-inazidi kuwa kubwa hii asikwambie mtu! Jamaa zetu wa Adu, tupatane ground tulizuge hili soka! Gideon M. Mung'aro, OGW Ruth Dama Masha Robbie Chome Kilifi County Government #003 #kilifigovernorscup
Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW -" Mashindano ya Governor's Cup yalisimama kidogo kwa muda lakini nataka kuwahakikishia vijana wanamichezo wa Kilifi, kuanzia Jumanne au Jumatano hii, tutarudi tena uwanjani. Angalau inatupa wakati mzuri zaidi kama vijana kuendelea kucheza soka...
The Kilifi under-23 KYISA team aims to start strongly against the Pwani University team in a warm-up clash at the Pwani University grounds during the Jamhuri Day celebrations. Gideon M. Mung'aro, OGW
Hii ni zaidi ya kubwa, mashindano ya vijana wasiozidi umri wa miaka 23 yataandaliwa papa hapa Kilifi, Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW akileta kaunti zote 46 kwa mpigo. Ni fursa ya vijana wetu wanaocheza michezo ya voliboli, mpira wa wavu na soka kuonyesha uwezo na talanta zao.
Hapa katika ufukwe wa Buntwani Malindi, tumehakikisha wachezaji wana sehemu za kujimwagia mwagia maji ili kukabiliana na joto kali wakati watakapokuwa wanashiriki michezo ya kitaifa ya ufukweni. Gideon M. Mung'aro, OGW Kilifi County Government #003 Olympics Kenya Ruth Dama Masha Robbie Chome
Wamumunyaji vibuyu 🎤 wapo ange kukuletea matangazo mubashara kutoka uwanja wa chuo kikuu cha Pwani. Utapata kila sikunde, dakika, matukio na vituko vyovyote vile vya uwanjani katika fainali zote za wanaume na wanawake. Gideon M. Mung'aro, OGW
Kuanzia saa tisa alasiri ya leo, pale Mwahima Grounds ni gozi kali la fainali. Jamaa za Likoni tupatane hiyo mida kwa mchuano huu mkali. Unga wa Dola
Likoni 1 washerehekea ubingwa wa Dola Super Cup kaunti ya Mombasa baada ya kuichapa Likoni 2 magoli 7-6 kwenye fainali kupitia mikwaju ya matuta, mechi ikiisha sare ya 1-1 muda wa kawaida uwanjani Mwahima Grounds. Unga wa Dola #DolaSuperCup
And she’s now acting like the savior of our constituency. When we needed her most she was nowhere. Hanifa 🇵🇸 🇸🇩 🇨🇩 🇰🇪 just be honest with yourself first before coming to act like you’re God sent Angel! No one will be against what you advocate for but let it be based on FACTS.
Huku Kilifi kwa Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW kumekucha salama, tayari kumaliza hustles za wiki. Nakuombea kwa mwenyezi Mungu jasho la mikono yako alibariki🙏 Kilifi ni TUTAM!