Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile
Robbie Chome

@chomerobbie

Radio Presenter/News Reporter/Sports Analyst/Loving Dad.

ID: 4922934569

linkhttp://www.robbiechome.co.ke calendar_today17-02-2016 07:52:49

490 Tweet

169 Followers

297 Following

Kilifi Department of Youth Affairs and Sports (@youthsports003) 's Twitter Profile Photo

Rodgers Kazungu ambaye ni kocha wa Ganze United amesema licha ya hali mbaya ya hewa, amewashkuru vijana wake kwa kuonyesha ukakamavu na kumtwaa mwanamwali huyo. Aidha, vipusa wa klabu ya Master Driblets nao waliibuka washindi kwa upande wa akina dada.

Matsangoni imechemka! Kararacha FC imefuzu fainali baada ya kuitengua klabu ya Roma 7-6 kupitia mikwaju ya penalti,kufuatia sare ya 1-1 katika muda wa kawaida, mechi iliyosakatwa katika uwanja wa shule ya upili ya Katana Ngala. Gideon M. Mung'aro, OGW

Matsangoni imechemka! Kararacha FC imefuzu fainali baada ya kuitengua klabu ya Roma 7-6 kupitia mikwaju ya penalti,kufuatia sare ya 1-1 katika muda wa kawaida, mechi iliyosakatwa katika uwanja wa shule ya upili ya Katana Ngala.

Gideon M. Mung'aro, OGW
Kilifi Department of Youth Affairs and Sports (@youthsports003) 's Twitter Profile Photo

Leo ni zamu ya Adu Ward, Waziri mwenyewe atakuwa ndani kutazama fainali hizi moja kwa moja-inazidi kuwa kubwa hii asikwambie mtu! Jamaa zetu wa Adu, tupatane ground tulizuge hili soka! Gideon M. Mung'aro, OGW Ruth Dama Masha Robbie Chome Kilifi County Government #003 #kilifigovernorscup

Leo ni zamu ya Adu Ward, Waziri mwenyewe atakuwa ndani kutazama fainali hizi moja kwa moja-inazidi kuwa kubwa hii asikwambie mtu!

Jamaa zetu wa Adu, tupatane ground tulizuge hili soka!

Gideon M. Mung'aro, OGW
Ruth Dama Masha
Robbie Chome
Kilifi County Government #003
#kilifigovernorscup
Kilifi Department of Youth Affairs and Sports (@youthsports003) 's Twitter Profile Photo

Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW -" Mashindano ya Governor's Cup yalisimama kidogo kwa muda lakini nataka kuwahakikishia vijana wanamichezo wa Kilifi, kuanzia Jumanne au Jumatano hii, tutarudi tena uwanjani. Angalau inatupa wakati mzuri zaidi kama vijana kuendelea kucheza soka...

The Kilifi under-23 KYISA team aims to start strongly against the Pwani University team in a warm-up clash at the Pwani University grounds during the Jamhuri Day celebrations. Gideon M. Mung'aro, OGW

The Kilifi under-23 KYISA team aims to start strongly against the Pwani University team in a warm-up clash at the Pwani University grounds during the Jamhuri Day celebrations.

Gideon M. Mung'aro, OGW
Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile Photo

Nawatakieni nyote Jamhuri Day njema 🇰🇪. Mwenyezi Mungu azidi kutuajalia afya na uzima tele 🤲 Vile vile, kuwa mwepesi wa kuomba msamaha na kusamehe 🙏 . #JamhuriDay2023

Nawatakieni nyote Jamhuri Day njema 🇰🇪.

Mwenyezi Mungu azidi kutuajalia afya na uzima tele 🤲

Vile vile, kuwa mwepesi wa kuomba msamaha na kusamehe 🙏 .

#JamhuriDay2023
Gideon M. Mung'aro, OGW (@gideonmungarom) 's Twitter Profile Photo

Join me tomorrow, January 17th, 2024, 09:30 AM at Pwani University for the NiPi launch - a bold fight against violent extremism. Let's join forces and make a difference. #NiPiLaunch #YouthAgainstExtremism

Join me tomorrow, January 17th, 2024, 09:30 AM at Pwani University for the NiPi launch - a bold fight against violent extremism. Let's join forces and make a difference. #NiPiLaunch #YouthAgainstExtremism
Kilifi Department of Youth Affairs and Sports (@youthsports003) 's Twitter Profile Photo

Hii ni zaidi ya kubwa, mashindano ya vijana wasiozidi umri wa miaka 23 yataandaliwa papa hapa Kilifi, Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW akileta kaunti zote 46 kwa mpigo. Ni fursa ya vijana wetu wanaocheza michezo ya voliboli, mpira wa wavu na soka kuonyesha uwezo na talanta zao.

Hii ni zaidi ya kubwa, mashindano ya vijana wasiozidi umri wa miaka 23 yataandaliwa papa hapa Kilifi, Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW  akileta kaunti zote 46 kwa mpigo.

Ni fursa ya vijana wetu wanaocheza michezo ya voliboli, mpira wa wavu na soka kuonyesha uwezo na talanta zao.
Kilifi Department of Youth Affairs and Sports (@youthsports003) 's Twitter Profile Photo

Wamumunyaji vibuyu 🎤 wapo ange kukuletea matangazo mubashara kutoka uwanja wa chuo kikuu cha Pwani. Utapata kila sikunde, dakika, matukio na vituko vyovyote vile vya uwanjani katika fainali zote za wanaume na wanawake. Gideon M. Mung'aro, OGW

Wamumunyaji vibuyu 🎤 wapo ange kukuletea matangazo mubashara kutoka uwanja wa chuo kikuu cha Pwani.

Utapata kila sikunde, dakika, matukio na vituko vyovyote vile vya uwanjani katika fainali zote za wanaume na wanawake.

Gideon M. Mung'aro, OGW
Gideon M. Mung'aro, OGW (@gideonmungarom) 's Twitter Profile Photo

KIJIWETANGA- JACARANDA ROAD Mlisema tuweke lami barabara ya Kijiwetanga- Jacaranda, sasa kazi inaendelea, tunatekeleza yale mliyotuagiza. Ujenzi wa barabara hii hautapiga jeki sekta ya utalii tu, bali pia usafiri wa wakazi wa maeneo haya. Huu ndio Mung'aro wa Kilifi, na

KIJIWETANGA- JACARANDA ROAD

Mlisema tuweke lami barabara ya Kijiwetanga- Jacaranda, sasa kazi inaendelea, tunatekeleza yale mliyotuagiza. Ujenzi wa barabara hii hautapiga jeki sekta ya utalii tu, bali pia usafiri wa wakazi wa maeneo haya. Huu ndio Mung'aro wa Kilifi, na
Gideon M. Mung'aro, OGW (@gideonmungarom) 's Twitter Profile Photo

Tuko site, na kwa mara ya kwanza Kilifi, tutakuwa na huduma za wagonjwa mahututi, ujenzi wa chumba cha wagonjwa hao (ICU), kwa sasa unaendelea katika Hospitali kuu ya mjini Malindi na ukikamilika, hatutalazimika kusafiri tena kaunti zengine kutafuta huduma hizo. Ndani ya

Tuko site, na kwa mara ya kwanza Kilifi, tutakuwa na huduma za wagonjwa mahututi, ujenzi wa chumba cha wagonjwa hao (ICU), kwa sasa unaendelea katika Hospitali kuu ya mjini Malindi na ukikamilika, hatutalazimika kusafiri tena kaunti zengine kutafuta huduma hizo.

Ndani ya
Gideon M. Mung'aro, OGW (@gideonmungarom) 's Twitter Profile Photo

KIBAO CHA FUNDISA - ADU ROAD Tulipokuwa nyanjani kuwaskiza, baadhi ya sauti zenu zilisema, tuendelee kuweka lami barabara ya Kibao Cha fundisa kwenda hadi Adu Kamale huko Magarini. Huu ndio urembo unaoendelea kwa sasa katika barabara hiyo. Barabara hii itasaidia wakulima wetu

KIBAO CHA FUNDISA - ADU ROAD

Tulipokuwa nyanjani kuwaskiza, baadhi ya sauti zenu zilisema, tuendelee kuweka lami barabara ya Kibao Cha fundisa kwenda hadi Adu Kamale huko Magarini. Huu ndio urembo unaoendelea kwa sasa katika barabara hiyo.

Barabara hii itasaidia wakulima wetu
Gideon M. Mung'aro, OGW (@gideonmungarom) 's Twitter Profile Photo

I met with Sen. Daniela Garnero Santanchè, the Italian Minister of Tourism, to sign an agreement for maritime education and training courses for youth in the coast region. The Italian Government will fund these courses to empower young people with skills for seafaring jobs..

Kilifi County Government (@kilificountygov) 's Twitter Profile Photo

Tungependa kuhakikishia umma kwamba, mashine zetu za kusafisha figo ( Dialysis Machines) zilizopo katika Hospitali kuu ya Malindi na Kilifi mtawalia, kwa sasa zinafanya kazi kikamilifu. Awali, mashine moja iliyoko katika Hospitali kuu ya mjini Malindi ilikumbwa na hitilafu za

Tungependa kuhakikishia umma kwamba, mashine zetu za kusafisha figo ( Dialysis Machines) zilizopo katika Hospitali kuu ya Malindi na Kilifi mtawalia, kwa sasa zinafanya kazi kikamilifu.

Awali, mashine moja iliyoko katika Hospitali kuu ya mjini Malindi ilikumbwa na hitilafu za
Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia saa tisa alasiri ya leo, pale Mwahima Grounds ni gozi kali la fainali. Jamaa za Likoni tupatane hiyo mida kwa mchuano huu mkali. Unga wa Dola

Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile Photo

Likoni 1 washerehekea ubingwa wa Dola Super Cup kaunti ya Mombasa baada ya kuichapa Likoni 2 magoli 7-6 kwenye fainali kupitia mikwaju ya matuta, mechi ikiisha sare ya 1-1 muda wa kawaida uwanjani Mwahima Grounds. Unga wa Dola #DolaSuperCup

Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile Photo

And she’s now acting like the savior of our constituency. When we needed her most she was nowhere. Hanifa 🇵🇸 🇸🇩 🇨🇩 🇰🇪 just be honest with yourself first before coming to act like you’re God sent Angel! No one will be against what you advocate for but let it be based on FACTS.

Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile Photo

Huku Kilifi kwa Gavana Gideon M. Mung'aro, OGW kumekucha salama, tayari kumaliza hustles za wiki. Nakuombea kwa mwenyezi Mungu jasho la mikono yako alibariki🙏 Kilifi ni TUTAM!

Robbie Chome (@chomerobbie) 's Twitter Profile Photo

Kilifi will, for the first time in history, have its first stadium under Governor Gideon Maitha Mung’aro’s leadership.